Ikiwa na yeye ni mtu wa Mungu kama sisi,hofu ya Mungu itakuwa ndani yake jirani amini usiamini.lkni kama ndo wale wa kasoro pombe na sigara..maweeee tumeumia maana skirt ndo ugonjwa wake..Hawezi kujua aisee sis watu wa Mungu tunawatafuta hawa
Ila isije kua ndo hagusi lakn upande mwingine ndo mwenyew
Umeona ee, kuna uzi huku wanaume walitiririka wanywaji vs skert.......naweza sema most of them wasiokunywa wanapenda skertIkiwa na yeye ni mtu wa Mungu kama sisi,hofu ya Mungu itakuwa ndani yake jirani amini usiamini.lkni kama ndo wale wa kasoro pombe na sigara..maweeee tumeumia maana skirt ndo ugonjwa wake..
Tusamehe Dam55 tunakujadili huku
Nyinyi jadilini tu ila siogopi kusema vile nilivo, ila kwa vile watu hapa hatufahamiani kiuhalisia inakuwa ngumu kuthibitisha ukweli wa kitabia hadi ukaaminika, unasema unaweza usiwe mtu wa pombe sana but ukawa wa skirt.Ikiwa na yeye ni mtu wa Mungu kama sisi,hofu ya Mungu itakuwa ndani yake jirani amini usiamini.lkni kama ndo wale wa kasoro pombe na sigara..maweeee tumeumia maana skirt ndo ugonjwa wake..
Tusamehe Dam55 tunakujadili huku
Jamani jirani huwezi amini,kuna ndg yetu fulani hivi vitu vya anasa kama pombe na sigara yeye hapana likn hii kitu inayoitwa skirt mama yang weeeeeeeee ni anazibadilisha kuliko kawaida aiseeh nahisi shetani kaamua bora amuache maana dhambi anayoifanya hata shetani inamuogopesha.Umeona ee, kuna uzi huku wanaume walitiririka wanywaji vs skert.......naweza sema most of them wasiokunywa wanapenda skert
Btw kikubwa awe na hofu ya Mungu mengine atakua ata mwoga kufanya
Ujue maneno yako yanazidi kunimaliza huku nilipo.yafanye basi yawe magumu baba angalau...Nyinyi jadilini tu ila siogopi kusema vile nilivo, ila kwa vile watu hapa hatufahamiani kiuhalisia inakuwa ngumu kuthibitisha ukweli wa kitabia hadi ukaaminika, unasema unaweza usiwe mtu wa pombe sana but ukawa wa skirt.
Unawaza usiamini kwasababu hakuna ushahidi ila ukweli sio wote ni watu hivyo mnavyodhani wandugu.
Hayo ni maoni yao lakini pia sisemi hayana ukweli moja kwa moja ila hapa kila mtu anasoma na anaona basi tufanye kitu kimoja.Umeona ee, kuna uzi huku wanaume walitiririka wanywaji vs skert.......naweza sema most of them wasiokunywa wanapenda skert
Btw kikubwa awe na hofu ya Mungu mengine atakua ata mwoga kufanya
Sio uthubutu wa kusema tu wengine tunatenda Kabisa siijui radha ya pombe wala sigara kinywani mwanguNi kweli wanaume wachache wana uthubutu wa kusema hvyo
Aisee chakorii uyu mtu sio wa kumuachia ata pm hajawahi kwendaHayo ni maoni yao lakini pia sisemi hayana ukweli moja kwa moja ila hapa kila mtu anasoma na anaona basi tufanye kitu kimoja.
Kama kuna mdada hapa JF niliwahi kukufuta PM nikakushushia mistari Mimi mwenyewe nakuruhusu bila shaka yoyote njoo hapa useme ukweli.
Najua mpoo ila hamuonekaniSio uthubutu wa kusema tu wengine tunatenda Kabisa siijui radha ya pombe wala sigara kinywani mwangu
Sio uthubutu wa kusema tu wengine tunatenda Kabisa siijui radha ya pombe wala sigara kinywani mwangu
Suala la sket hakuna mwanaume asiyependa hata mlevi sket anatumia sana labda uongelee idadi ya sketUmeona ee, kuna uzi huku wanaume walitiririka wanywaji vs skert.......naweza sema most of them wasiokunywa wanapenda skert
Btw kikubwa awe na hofu ya Mungu mengine atakua ata mwoga kufanya
Jirani mimi kiukweli kuonja siachi.... pombe ni Tamu saana ila siyo kila sikuMama yangu weeeeee...jamani nilikuwa nakutafuta siku nyingi ujue.haleluya!!hahahahaha
Teeeh laana nn[emoji87]Jamani jirani huwezi amini,kuna ndg yetu fulani hivi vitu vya anasa kama pombe na sigara yeye hapana likn hii kitu inayoitwa skirt mama yang weeeeeeeee ni anazibadilisha kuliko kawaida aiseeh nahisi shetani kaamua bora amuache maana dhambi anayoifanya hata shetani inamuogopesha.
n gec wat huu mwaka wa kumi na moja yuko kwenye ndoa na hajabahatika kumtungisha mke wake mimba
Na ww unakunywaa? Em kwanza nidokoze vp mtakatifu anaonjaJirani mimi kiukweli kuonja siachi.... pombe ni Tamu saana ila siyo kila siku
Tatitzo wanatuonea sisi wanatwambia tunapenda gauni.
Jitu mzambia mbona umeandika haraka haraka kma umelewa?Jamani naombeni nianze moja kwa moja kwenye mada, maana kuna sehemu nilikuwa napata moja moto moja baridi sasa mwenzangu mmoja baada ya kukolewa na maji akatoa kauli hii "hapa ni kunywa na kukojoa ila heshimu nyege tu, maana bila nyege usingezaliwa wewe" JE KUNA UKWELI HAPA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosa raha sana wwNiliapa na Mungu wangu nisaidie kutimiza kiapo changu siku zote za maisha yangu yalio baki hapa duniani kuwa katika kinywa changu kitu kinachoitwa kilevi iwe pombe ama sigara kisiguse hadi naingia kaburini.
Hahahaha wewe ni mywaji mzuriHivi Balimi ni Pombe? Mimi sijawahi kunywa Pombe maishani mwangu huwa najinyweaga Mabalimi tu wajameni
Sent using Jamii Forums mobile app