Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo, na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo huo?

Upo sahihi mkuu.
Nadhani mleta mada alipitiwa kidogo. Ni rahisi kuchanganya waandishi kama ukiwa msomaji wa vitabu au vitu vingi sana kwa muda mfupi.
Nikweli mkuu ukosefu kwa mwanadamu ndio ukamirifu wake

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 

Mkuu ubongo unaboreshwa vipi ??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nimesoma heading tu, nani amegundua kama tunatumia 10% pekee wakati naye uwezo wake ni kutumia 10% pekee? Na huyo aliegundua atakuwa ameshatumia zaidi ya 10%. Je, hiyo 90% inajumuisha nini?
 
"Inasemekana kuwa"!?? Means they are not sure,,,,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peale sio authority wa haya mambo na kusema kuwa his word is final. Sio kweli.
 
Mkuu wengi tumeambiwa hivi. Kiukwel ija impact mbaya kwa mtoto hasa mie imeniathiri mno!! Kama uluwahi pitia somo Child Psychology utakua unelewa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahahaa haiwezekani tukawa tunatumia asilimia chache hivyo. Kwamba inayobaki ipo dormant tu? Basi lazma kungekuwa na watu wachache wenye superpowers walioweza kutumia asilimia zote.
 
Haya madude watu mnapenda kuyasoma sijui kwanini,huku tunaambiwa hizi gunduzi zote za kisayansi zilizopo ni kwamba mwanadamu ametumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo wake kwa maana akitumia asilimia zaidi ya hapo ataweza kugundua mambo makubwa zaidi. Wakati huo huo wengine wanatuambia hizi gunduzi hatugundui sisi wanadamu hatuna uwezo huo hivyo hizi gunduzi tunasaidiwa au kufanywa na Aliens,hivyo hawa wote watu tunaoambiwa sinui wamegundua hiki na kile si kweli hao wamewekwa tu ila wenyewe ni Aliens.

Hata sijui ukweli ni upi?
 
Hahahaa haiwezekani tukawa tunatumia asilimia chache hivyo. Kwamba inayobaki ipo dormant tu? Basi lazma kungekuwa na watu wachache wenye superpowers walioweza kutumia asilimia zote.
Wazungu wanatingizaga mjini mkuu.. lakini kama twafikiria sawa kwanini hatuwafikii mafanikio to all aspects of life?
 
Human need more time to think....

Human being need to be specific

All human can think about is how he can survive and ...and live good life i mean how he can earn living....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…