Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,678
- 106,788
- Thread starter
- #101
Nikweli mkuu ukosefu kwa mwanadamu ndio ukamirifu wakeUpo sahihi mkuu.
Nadhani mleta mada alipitiwa kidogo. Ni rahisi kuchanganya waandishi kama ukiwa msomaji wa vitabu au vitu vingi sana kwa muda mfupi.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk