Je? Ni kweli acb wameshawaita watu kazini kwa zile post 11 za tallers.

follow me

Member
Sep 15, 2012
24
2
ndugu, week kama mbili tatu nyuma ACB LTD walitufanyia interview kwa ajili ya post za bank taller, kwa habari za chini chini ni kwamba wameshapata watu wanao wafaa kwa ajili ya kazi zao, sasa naomba kama kuna mwenye uhakika au any updates atufahamishe, ili tuendeleze harakati zingine wakuu! asanteni.
 
we ni mchaga? kama cyo mchaga imekula kwako!!!
 
nilikuwa nataka kujua tu je? watuwameshapatikana au lah, ili nijue kuendelea na mambo mengine, haya ya uchaga mimi siyajui mkuu wangu. sio kama nikikosa hapo bank ndo namaisha yangu yameishia hapo hapana bali inaniongezea jitohada zaidi ili niweze kufanikiwa kwa namna moja ama nyingine
 
bac endelea kupambana kaka na michakato mingine coz tayari wameshaita watu kazini!! trust me.
 
na ku trust, mana after interview walisema watatujuza baada ya week, week ya pili sasa imepita, ivyo nakubaliana na wewe kuwa waliohitajika walishaitwa! je vipi hawa jamaa bank taller wao wanawalipa pesa ngapi? mana skuile walisema wanawachukua fresh wenye degree nzuri na watatoa package mbalimbali aisee, unajua haka kabank kanaelekea kuzuri mno ndo mana watu wengi walitamani kuingia pale.
 
350000/= per month wackutishe kawaidaa sana!!
 
Back
Top Bottom