Je,ni kosa kisheria kubandika photocopy ya bima ya gari au pikipiki badala ya ile original?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Leo Kuna traffic tumezinguana juu ya bima yangu ambayo Ni copy nimeibandika kwenye kavitz kangu.

Kaniambia eti lazima nibandike na ile original . Sasa wadau hii imekaaje?
 
Leo Kuna traffic tumezinguana juu ya bima yangu ambayo Ni copy nimeibandika kwenye kavitz kangu.

Kaniambia eti lazima nibandike na ile original . Sasa wadau hii imekaaje?
Kimsingi ndiyo. Karatasi original ina vitu ambavyo unaweza ku-scan na vitambulisho kwamba ni bima genuine. Sasa ukishatoa copy basi hivyo vitu vinakuwa havina maana tena. Kama umeipoteza Bima yako watakupa nyingine, unalipia Tshs 11,000 kama sikosei
 
Mbina bado mnakauwa wazito kuelewa kuhusu bima za magari? Ukilipia bima tayari unakuwa active kwenye mfumo na taarifa zako zinasoma direct online! Sasa ukiona unahangaika na kibandiko copy wakati ujajua uhai was bima no kwenye mfumo kwa mini usichungulie wakati mfumo uko online? Harufu ya rushwa inatatftwa kwa nguvu apo
 
Bima yangu imeisha tangu April. Naendelea kudunda. Nataka nifikishe mwaka mzima.

Sijui nitaweza???
 
Hii electronic bima, Hawa jamaa wanaikaguaje siku hizi ukikutana nao maana Mimi bado nipo analogy!
 
Siku hizi mambo ya kubandika makaratasi kwa magari binafsi yamefika ukingoni
 
Back
Top Bottom