Je, Ni haki katika point hizi za ufaulu?

warrior smas

New Member
Jul 18, 2016
1
0
Mnasema eti TCU sasahivi cut points zao lakini mmesahau kimoja mwaka jana C ilkuwa 40-49 na E mwaka huu ilikuwa 40-49 na D ilianzia 50-50 sasa iweje mwanafunzi aliyemaliza mwaka jana ambaye amepata C 2 ambazo ni sawa sawa na E mbili za mwaka huu awe na sifa na aliyepata E mbili asiwe na sifa.

Hapa tujiulize la sivyo kuna jipu hapa.
 
hii ndo serikali ndan yake kuna sirikali
me nafikili viwango vilianza kupandishwa pia hata kwa o 'level waliopata matokeo mwaka huu
F= 00-34
D= 35-44
C= 45-64
B= 65-74
A= 75-100
hv ndo viwango vipya kwa o'level vilivyotuma YOU CAN'T COMPARE WITH LAST SYSTEM
so ndugu usilie
 
Back
Top Bottom