GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,894
- 109,616
CIA na MOSSAD hawazichanganyi labda Kwenu huko Malawi ya Kaskazini ndiyo wanazichanganya na ndiyo kuna Upuuzi mwingi na Siri za nchi Kuvuja 24/7 tu.Zote kwa pamoja
On what?I think it depends
No comment please...!!Pia kuwa mwanausalama bora inategemeana na mission uliyopewa
Can you imagine una akili za kuzaliwa na za taaluma alafu wewe ni mwanausalama Rais ni Huyu mama si lazima uonekane ni bogaz like HER
On how the mission isOn what?
Mbona kama wewe ni mmoja wao?🙂🙂Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe ni mwana Usalama wa Taifa wanaangalia Taaluma yako kama umeshawahi kupata Sup Chuoni au kama ulipokuwa Darasani ulikuwa unakaa mbele na muulizaji Maswali mzuri na Daftari zako ni Safi na Notes zako zinavutia na uwe na Uwezo mkubwa wa Kukariri Notes za Mwalimu wako (hata kama huzielewi) na Kuzijibia Mitihani ili upate Alama A na B.
Je, ukweli hasa ni upi? Najua hapa JamiiForums mpo /wapo Wabobezi wa Fani husika (tajwa) hivyo watanisaidia Kunifafanulia / Kutufafanulia akina siye tusiojua lolote lile kuhusu mambo / masuala ya Usalama wa Taifa ( Intelligence ) hapa duniani.
Hapan'shaka.....ulipita mikononi mwa Max na Obed Lyimo.tulichujwa
Mbunge Msukuma ana Elimu Kubwa kama yako? Na kama jibu lako ni hapana sasa kwanini amekuzidi uwezo wa Kuelewa, Akili na Kuchambua Masuala Mtambuka nchini?"Akili ya kuzaliwa" bila elimu ni uchafu. Kusoma ndiko kunaleta akili.
Je, hakupita kwa Poti wangu wa Kizanaki Brazameni Wandiba Mzee wa Kunyoa Dongo ( Para ) daima?Hapan'shaka.....ulipita mikononi mwa Max na Obed Lyimo.
Sina Hadhi hata kidogo ya kuwa huko.Mbona kama wewe ni mmoja wao?🙂🙂
Sasa Msukuma ana uelewa gani wa maswala ya nchi? Tatizo bongo mtu akiwa muongeaji sana anachukuliwakuwa na akili. Ndiyo maana wakina Kitenge, Mwijaku et al wanaonekana wana akili.Mbunge Msukuma ana Elimu Kubwa kama yako? Na kama jibu lako ni hapana sasa kwanini amekuzidi uwezo wa Kuelewa, Akili na Kuchambua Masuala Mtambuka nchini?
Na Wewe unaamini kabisa kuwa una Akili?Sasa Msukuma ana uelewa gani wa maswala ya nchi? Tatizo bongo mtu akiwa muongeaji sana anachukuliwakuwa na akili. Ndiyo maana wakina Kitenge, Mwijaku et al wanaonekana wana akili.