Pamoja mkuuHata hivyo nakushukuru kwa muda wako,ubarikiwe.
No, Na mwanaume pia huadhibiwa kwa bakora mpaka kufa.Kwakuwa tayari mind yako imekuwa possessed na huyo shetani.....View attachment 384320View attachment 384321View attachment 384322ni mara chache mno kukuta mwanaume akikumbana na adhabu hii hasa kwa suala linalohusu ngono na nje ya imani
Wakati kwa shetani ngono ikiwa ni ibada kwa Mungu ni dhambi ambayo msamaha wake ni ibada maalum. ..
Nimeelewa hivi.:
Ngono kwa shetani ni ibada kubwa Sana.
Ngono kwa Mungu ni dhambi kubwa Sana.
Aisee tunafanyaje Sasa? maana ngono ndo kila kitu kwenye hii dunia, wanyama wanafanya, mimea inafanya, ndege wanafanya, wadudu na viumbe hai karibia vyote vinafanya.
Au Hawa satanism wanataka kutuaminisha kuwa shetani ndo mkweli kuliko Mungu?
Na kwa Nini Mara zote Mambo ya Mungu yawe magumu magumu na machungu wakati ya shetani ni mepeeesi Kama uji halafu matamu matamu?
Mwenye uelewa wa haya Mambo anisaidie please hizi imani za kuletewa hizi naona zinatuangamiza tulio wengi.
Ila Mimi kichwani huwa naamini wazungu sio binadamu kamili bali ni mapepo/majini yaliyojivika ubinadamu.
Ngoja nipitie na hapa.![]()
Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?
kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari 1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati? Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith...www.jamiiforums.com