Yani mkuu tetesi zasema kuwa Eva alirubuniwa kunaniliu na Shetani a.k.a nyoka. Alivyofanya na Shetani ndo akaona kumbe tamu akaenda kwa Adamu. Tetesi hizo zinaenda mbali zaidi na kusema kuwa Kaini alikuwa mtoto wa Eva na Shetani ndo maana akamuua kakaye.Mwanzo3:6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.”
ukiangalia hiyo aya pale juu, inaonyesha Hawa alianza kwanza kula, kisha baadayen akampelekea na Adam.
SASA KAMA ILIKUWA NI NGONO, ALIANZAJE HAWA KUFANYA NGONO PEKE YAKE KWANZA, KISHA AMPELEKEE NA ADAM HIYO NGONO???😱😱😱
hahaha...kweli hizi ni tetesi.Yani mkuu tetesi zasema kuwa Eva alirubuniwa kunaniliu na Shetani a.k.a nyoka. Alivyofanya na Shetani ndo akaona kumbe tamu akaenda kwa Adamu. Tetesi hizo zinaenda mbali zaidi na kusema kuwa Kaini alikuwa mtoto wa Eva na Shetani ndo maana akamuua kakaye.
Mimi naamini kabisa kuwa ile ilikuwa ngono maana hii kitu hii kitu hii kitu bwana!hahaha...kweli hizi ni tetesi.
lakini bado tukitumia akili, WALIAMBIWA WALE MATUNDA YA MTI MITI YOTE!!!!...ISIPOKUWA TUNDA LA MTI WA KATIKATI YA BUSTANI.....
"asavali" ingesemwa tunda la kati, ila Mungu akawa specific, TUNDA LA MTI WA KATI!!!!..... so kwa kuwa ishasemwa ni tunda mti na sio la mwili, mawazo ya ngono yafutike kwa nukta hizo yani...hehe
Sasa Mkuu Bavaria,kama huzielewi si upite tu au vipi,hakuna haja ya kuchuma dhambi na kujilaani kwa kutoa kashfa Mkuu.Ujue Mshana sijawahi kuelewa mada zako?
Zimekaa kichawichawi sana.
Mimi naamini kabisa kuwa ile ilikuwa ngono maana hii kitu hii kitu hii kitu bwana!
Mamii naomba unijulishe,katika dini ya Kibaniani(HINDU),nini adhabu ya mwanaume au mwanamke akizini hali ya kuwa kaoa au kaolewa?.Ikibidi unaweza kujibia PM.Kwenye imani za wenzenu wengine kitendo cha mwanamke na mwanamme kukutwa wamezini bila ndoa, adhabu yao ni kupigwa mawe wote wawili mpaka kufa tena baada ya kukamilika kwa ushahidi wa uhakika. Na hukumu hio ikiwa watendaji wamo ndani ya ndoa.
Walokuwa out of ndoa ni kutandikwa bakora mia kila mmoja.
Kama kuna mahali wanatekeleza hukumu hizo kwa kumuhukumu mwanamke pekee basi wanakosea.
Nimemaliza...
Naamini hivyo,sababu hata mimi nilikuwa kama yeye na leo hii nimeelewa baada ya kuumia.Usijali ipo siku ataelewa tuu aliamua kushughulisha ubongo wake
Huyo ni Malaika Nylon.Dah, hongera sana Dada!.. ndio raha ya kusoma na kuchunguza ukweli wa mambo hii...
watu tukiwa kama wewe, leo hii tuisingekuwa brainwashed
Mfano hakuna, kwakweli acha tu kawe dhambi....Kama nini[emoji22] [emoji85]
Dah, hio sijui mkuu.Mamii naomba unijulishe,katika dini ya Kibaniani(HINDU),nini adhabu ya mwanaume au mwanamke akizini hali ya kuwa kaoa au kaolewa?.Ikibidi unaweza kujibia PM.
Hata hivyo nakushukuru kwa muda wako,ubarikiwe.Dah, hio sijui mkuu.
I am always there for youHafu nakutafuta ujue