jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
NASIKIA ALIROPOKA KAJA KARIMJ DAR ES SALAAMWalishatoa ufafanuzi hayo unayoyasema wewe ni sahihi kabisa,ingia tu kwe website yao kama Ndalichako analikataa hilo la E sijui labda amechanganya tu!
NALO WAZO LAKO TU WW USIEJIAMIN yaan TCU wameweka pale alf ww cjui unaongea nnwewe kalili ndoo utaisoma no tofaushi misimu ww hii nchi sasa hivi haina ubabaishaji kama huna vigezo na unabipu acha kutupa gharama bure ww
dah hii ndo nchi yetu ila i think watachenj maamuzi yaoSasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
Safari hii hakuna cha Sayansi wala Art wote kamba moja tu!!Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
hahahaaaaaaa zama www.tcu.go.tz uangalie vigezo alf pia kweny new guiding bookJamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
hivi ndalichako alisoma comb gani???Safari hii hakuna cha Sayansi wala Art wote kamba moja tu!!
chek hyo kakaJamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
yap nmeiona na nimeisoma na nimeielewa thats y nkasema waziri jana alifukaKuna guide book 2016 /2017 umetoka usiishi kwa matamko soma uelewe
wewe kalili ndoo utaisoma no tofaushi misimu ww hii nchi sasa hivi haina ubabaishaji kama huna vigezo na unabipu acha kutupa gharama bure ww
Huelewekii pole,, hivi na wewe upo chuo au familia imekuzidiiwewe kalili ndoo utaisoma no tofaushi misimu ww hii nchi sasa hivi haina ubabaishaji kama huna vigezo na unabipu acha kutupa gharama bure ww
Elewa mada. ,,,au umesoma nyambari productJamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
Mkuu umeongea kwa hasira!Hebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...