jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...
TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0
Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............
nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....
HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI