Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

jayleoncy112

Senior Member
Jul 17, 2016
164
73
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...

TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0

Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............

nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....

HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI
 
Walishatoa ufafanuzi hayo unayoyasema wewe ni sahihi kabisa,ingia tu kwe website yao kama Ndalichako analikataa hilo la E sijui labda amechanganya tu!
 
Jamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
 
Jamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
chek hyo kaka
 
Attachments

  • 13645219_564203160432459_8540869568057288002_n.jpg
    13645219_564203160432459_8540869568057288002_n.jpg
    48.9 KB · Views: 89
Kuna kuteleza ulimi lakini ukweli unabaki pale pale,hauna point 4,kasome diploma
 
Hebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...
 
we vip kasemaa hana vigezo au kasemaa tujadili kaul ya ndalichako ya kutoitambua E wakati TCU wameweka kama kigezo cha kufikia 4 point utumie akil sometme sio unakurupuka kujibu vitu visivyo na msingi

wewe kalili ndoo utaisoma no tofaushi misimu ww hii nchi sasa hivi haina ubabaishaji kama huna vigezo na unabipu acha kutupa gharama bure ww
 
Hebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...
Mkuu umeongea kwa hasira!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom