Sasa mbona mnamfunga LISUWakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Head prefect wangu anawalia watu timing tu hapo.Wakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Umeishia njiani, mkuu 'FUSO'.Acha unafiki - achia ngazi basi tuone kama wewe kidume nanunamqqnisha - na mwamhie boss wako live amwachie Polepole na akome kuteka na kuua Watanganyika. Aache vyama vifanye siasa na atoke hadharani atubu aliyoyafanya October 29.
Bila hivyo, wewe na yeye woote chungu kimoja.
Anasubiri tujichanganye tumpe2030?Head prefect wangu anawalia watu timing tu hapo.
Vv
Wameamua kutumia mbinu hiyo wakidhani waTanzania ni wajinga wasioelewa kitu..Anaongea upuuzi gani huyo Nchimbi wakati chama chake ndio kinara wa huu uhuni. Anapojiweka tofauti inasaidia nini wakati hawezi kutatua tatizo lililopo?
Kwahiyo samia ni mjinga?Wakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Naona ametangaza vita na sisi wana KizimkaziWakuu,