Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imevipiga marufuku vyama 13 vya kisiasa, likiwemo chama cha PPRD cha rais wa zamani Joseph Kabila.
Kabla ya uamuzi huo, Tshisekedi aliitisha kikao maalum cha Baraza Kuu la Ulinzi mjini Kinshasa, kilichowakutanisha viongozi waandamizi wa serikali...
Wakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Wakuu,
Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi
-----------
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.