Je nchi yangu Tanzania imepatwa na laana??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nchi yangu Tanzania imepatwa na laana???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Suleiman, Feb 20, 2011.

 1. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Salaam wana JF,
  laana (curse) kwa tafsiri nyepesi ni matukio mabaya yanayoweza kumpata mtu,familia,jamii na hata taifa. Laana mara nyingi hutokana na kwenda kinyume na mwenyezi Mungu au kwa namna nyepesi dhambi... Kama dhuluma, ufisadi, kutotenda haki na dhambi nyingine.
  Kwahiyo laana ni kinyume cha baraka(blessings)

  mimi sio sheikh wala kasisi kulezea sana maana ya laana, but nukiangalia mambo yanayolikumba taifa langu pendwa Tz nahisi kuna harufu ya laana. Tumekubwa na obwe la siasa dhalimu yenye ubinafsi na kushabikia chama badala ya taifa, na watu wapo tayari kujinufaisha na kusababisha wengine wadhurike na kuangamia kabisa.

  matokeo yake ambayo yanaonekana kama laana vile ni:-
  *uchaguzi wenye mizengwe
  *nchi kutotawalika vizuri
  *matatizo ya umeme kila kukicha
  *ajali nyingi kupindukia
  *maisha magumu( under one doller)
  *sasa mabomu na wengine watanufaika na tume zitakazoundwa bila kujali waathirika.

  kwa mtazamo wangu, kama vile laana imeanza kuikumba taifa letu pendwa Tz na ni wajibu wa kila mmoja kukomesha laana hii kwa kila njia. Maana baadae laana inaweza kuwa critical tukashindwa kuiondoa...
   
 2. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Na kama kweli ni laana nini chanzo? Nani kasababisha? Tunapaswa kujiuliza ili kutatua majanga haya kwakweli...
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,369
  Likes Received: 22,232
  Trophy Points: 280
  Kikwete na mafisadi wenzake ndio wenye laana
   
 4. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  yawezekana ndg yangu B' maana laana katika taifa huweza kusababishwa na viongozi wake. Tuzidi kutafakari na kutafuta suluhisho...
   
 5. S

  Syxtus New Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JKndo mwenye laana. Hakutoa pesa ya kuhamisha mabomu, hivyo kawapa jeuri watu wake wote walio chini yake, wanaokataa kujiuzulu au kuwajibika

  Syxtus
   
 6. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  S, kwa hakika tunahitaji viongozi wabunifu na wanaoweza kutatua matatizo bila kusubiri maafa ndio waanze opportunity zao za kisiasa. Kwa hakika tunasafari ndefu
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,586
  Likes Received: 1,953
  Trophy Points: 280
  Sio laana,wananchi hawajui kuwawajibisha viongozi period!The rest ni issues za kiiamani na ndiyo zimetukwamisha.
   
 8. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wenye laana ni wale wote walioichagua CCM uchaguzi uliopita, sasa laana yao inaliangamiza taifa zima.
   
 9. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  ni kweli mkuu, bt huko kutokuwawajibisha viongozi wao ndio laana yenyewe hiyo..
   
 10. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Kwa hakika mambo ni magumu kwa Tanzania yetu, lakini viongozi dhalimu wao wanaona sawa tu na wala hawawajibiki kwa lolote hata kama tumewapa dhamana kubwa hawajali.
   
Loading...