Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 844
Yani namaanisha naweza nikatoka na king'amuzi changu ninachotumia huku kikafanya kazi nikifika huko.? Kama wanavyofanya watanzania wanaotumia ving'amuzi vya Azam Tv nchini Afrika ya KusiniKwani hivi tunavyotumia bongo ni ving'amuzi vilivyotengezwa bongo au China?
Jibu unalo, waone DSTV watakusajilia wakipenda wasipopenda basi!lakini lazima uwe na documents zote za ununuzi na uingizaj inchin tz
Tatizo sitaki kumiss soapies za Mzansi. Halafu Natumia DSTV easy view ambayo nalipia R30 kwa mwezi yani kama TSHS 4000 hiviAchana nao wana bei Kali ktk vifurushi vyao.Mpango mzima azam
Ni vema ukawacheki DM dstv wenyewe ungepata majibu mujaaarabu kuliko huku by the way ni ushauri wangu binafsi tuwasubiri wengine wanaweza kuwa na majibu mazuri.
Yes inawezekana.. ila kulipia utakua unalipia huku huko SA.. utaendelea kulipia kama unavyolipa kwa sasa hviTatizo sitaki kumiss soapies za Mzansi. Halafu Natumia DSTV easy view ambayo nalipia R30 kwa mwezi yani kama TSHS 4000 hivi
Tatizo sitaki kumiss soapies za Mzansi. Halafu Natumia DSTV easy view ambayo nalipia R30 kwa mwezi yani kama TSHS 4000 hivi
Yani namaanisha naweza nikatoka na king'amuzi changu ninachotumia huku kikafanya kazi nikifika huko.? Kama wanavyofanya watanzania wanaotumia ving'amuzi vya Azam Tv nchini Afrika ya Kusini
Unaweza tumia DSTV decoder ya South Africa na kulipia online kwa bank card.Kikubwa Fundi Dish akufungie kwenye transponder ya DSTV south Africa(kuna transponder ya huku east africa,na ya west and south africa) na decoders zipo programmed kwa kila nchi.kuna jamaa zangu wengi tu wanatumia south africa dstv decoders hapa TanzaniaHabari wakuu,
Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
satelite inayo beam south africa ni tofauti na inayobeam hapa Tanzania.Uzuri wake hii satelite inayobeam south africa footprint yake inafika Tanzania.So fundi ataelekeza dish kwenye south africa dstv beaming satellite na hapo unapata south africa dstv pacakages na malipo unalipa kupitia visa card online kwenye web ya dstvumemshauri vizuri sana,
ila kwa kufikiria haraka haraka Dstv ya south ni lazima ifanye kazi huku kwa sababu zinatumia satellite
King'amuzi chenyewe DSTV ni 99,000/ lakini unatupigia kelele na kujipa mzigo wa kusafilisha kitu ambacho hakifiki hata pesa ya Mbuzi bebelu,Yani namaanisha naweza nikatoka na king'amuzi changu ninachotumia huku kikafanya kazi nikifika huko.? Kama wanavyofanya watanzania wanaotumia ving'amuzi vya Azam Tv nchini Afrika ya Kusini
Suala sio kuja kununua Tanzania. Ila kuna utofauti kati ya King'amuzi Cha SA na cha TZ elewa hiloKing'amuzi chenyewe DSTV ni 99,000/ lakini unatupigia kelele na kujipa mzigo wa kusafilisha kitu ambacho hakifiki hata pesa ya Mbuzi bebelu,
Ndiyo tatizo la vitoto vya uchumi wa kati.
Naona hujaelewa madaKing'amuzi chenyewe DSTV ni 99,000/ lakini unatupigia kelele na kujipa mzigo wa kusafilisha kitu ambacho hakifiki hata pesa ya Mbuzi bebelu,
Ndiyo tatizo la vitoto vya uchumi wa kati.
poppah kiongozi msaada wako muhimu sana hapa, kutokana na uzoefu wako ktk haya maswala ya dishesUnaweza tumia DSTV decoder ya South Africa na kulipia online kwa bank card.Kikubwa Fundi Dish akufungie kwenye transponder ya DSTV south Africa(kuna transponder ya huku east africa,na ya west and south africa) na decoders zipo programmed kwa kila nchi.kuna jamaa zangu wengi tu wanatumia south africa dstv decoders hapa Tanzania
Unaweza kutumia hicho king'amuzi hapa Tanzania iwapo tu utakuwa Mkoa wa Mtwara na baadhi ya sehemu ya mkoa wa Lindi.Hii ni kwa sababu mawimbi ya satellite yake yanakomea kusini mwa Tanzania ila nchi za Zimbabwe na Malawi wanapata mawimbi yake vizuri.Habari wakuu,
Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?