Nadhani tungekua na wadaiwa mabilioni wengi sana na si mabilionea.Hupati nakungekua nautaratibu huo tungekuwa na mabillionea wengi sana kwenye nchi yetu
Nadhani tungekua na wadaiwa mabilioni wengi sana na si mabilionea.
dodge
Hizo hela wanazokopa siwangezifanyia biashara hapa mtaani Kuna watu wanamabusinessplan ya mamilioni afu hawana hata mia
daahHupati nakungekua nautaratibu huo tungekuwa na mabillionea wengi sana kwenye nchi yetu
Nchi gani hii mkuu🤔
Iyo biashara yenyewe zugazuga tu yakupata shingi 500/= yakujiungia bando lakuja kusumbuana na mng'ato humu.Its true hizo ndo vigezo vyao! Komaa na leseni
Iyo biashara yenyewe zugazuga tu yakupata shingi 500/= yakujiungia bando lakuja kusumbuana na mng'ato humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kinatumika kama dhamana baada ya kuwa na biashara yenye leseni na ambayo ina mzunguko wa fedha.
Madam nauri ndio tunajipigapiga tuipate.Lakini juzi nilipoongea na ww ... huna mpango kbs wa kuhama jiji ww...yaan unatamani mafanikio lakini hutak kutok kwenye comfort zone...!
Kuna face na sound unaona kbs huyu yuko tayari muda na popote pale!