Je naweza kupata mkopo bank kwa kutumia business plan?

Haiwezekani mkuu.
Tafuta hati ya kiwanja au rasimisha shamba na biashara kwa njia ya MKURABITA. Kisha rudi benki, utafanikiwa.

Kama unataka mkopo wa pesa nyingi hakikisha unazoCONNECTION na watoto wa mjini na utoe ahadi ya gawio nono kwa afisa mikopo wa benki husika. Hapo utapata mkopo.

Kila la kheri.
 
Asante
 
Back
Top Bottom