Likasu JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 860 Reaction score 457 Apr 28, 2013 Thread starter #21 Asanteni wote kwa ushauri. Wamenikosa watafute wajinga wengine. Mimi kwa kawaida yangu kama jambo silijui lazima niulize.
Asanteni wote kwa ushauri. Wamenikosa watafute wajinga wengine. Mimi kwa kawaida yangu kama jambo silijui lazima niulize.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,641 Reaction score 19,033 Apr 28, 2013 #22 kalou said: hivi unashindaje shindano ambalo hujashiriki? Click to expand... Na jamaa akatabasamu , tabasamu kuubwa...
kalou said: hivi unashindaje shindano ambalo hujashiriki? Click to expand... Na jamaa akatabasamu , tabasamu kuubwa...