Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Daaah, this is insane, huu ulimwengu kuna kitu vital hatukijui kuihusu. Kitu infinity huwa kinanitia wazimu kabisa..., how can infinity exist? How is there no end to something? How?!

Ipo siku tutagundua, na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Ikunbukwe, infinity is not a number, but a concept.
Unamaanisha nini kusema infinity is not a number ?
 
Daaah, this is insane, huu ulimwengu kuna kitu vital hatukijui kuihusu. Kitu infinity huwa kinanitia wazimu kabisa..., how can infinity exist? How is there no end to something? How?!

Ipo siku tutagundua, na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Ikunbukwe, infinity is not a number, but a concept.
Number inatumika ku-quantify something... so limit ya namba ipo kwenye kitu unachotaka kuki-quantify.... hivyo hakuna maana ya kujua the limit of the number bali kuna maana ya kujua the limit of something. Tunasema space ni infinite kwasababu hatuwezi kumeasure kwa maana hatujui mwanzo na mwisho wake ni upi.
 
0 hadi 9! au 1 hadi 0? Hesabu huanzia 1 na kuishia 0 na sifuri inaweza kuzifuta namba zote mfano 100,000 × 0 =
au 0 × 100,000=

Zote ni 0.
wewe upo upande wa electronics, mifumo yenu ina tawaliwa na number 0&1.
 
Back
Top Bottom