Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

namba kubwa kuliko zote ni sifuri aka zero kilugha tunaita Yai. Maana ukiipata kitu kwa hesabu hio lazima ujiulize umebahatika vipi ?
 
Namba kubwa ni 9
Namba ndogo 1
Hakuna namba zaidi ya hapo hayo mengine ni mawazo yako tu wala sio uhalisia namba duniani zipo 9 tu hizo nyingine ni mauza uza yako na kila namba inamaana yake
 
Je, kunauwezekano tukaifahamu namba iliyokubwa kuliko zote kabisa? Na kama huo uwezekano haupo ni kwanini?
sifuri au zzZIRO ndio namba kubwa zaidi duniani,,,manake inawakilisha kwa hamna kiti la ni kila ikiongezwa mbele ya namab nyingine ina kuwa mapesa mengi mfano,,,,20,200,20'0000,200,000,000/=......manake ni kwamba hatakisicho na maana kina maana!!!!.........
 
Back
Top Bottom