GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
Mbona mleta mada hajamtaja huyo mgombea au ndio kuweweseka?Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Kwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Ila ukikitumia vyema / vizuri kwa 'Wamiliki' wa hiyo Lugha si tu kwamba wanaweza Kukujengea hiyo Lami bali hata Kuondoa 'Upumbavu' ulionao.Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Naanza Kuona sasa 'Kisu' kimeanza Kukata 'Nyama' vizuri.akili za kikoloni bado sana waafrika!
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?Uko sahihi kabisa, na yeye akaongee kama hao mahouseboy wa kimalawi kwani shida iko wapi?
Kile cha Milimani na Mbugani Kwao tu au alichojifunzia pale Ubungo COET kisha kile alichoenda Kukikuta zake kwa Bibie Angela Merkel Ujerumani?Mkuu naona kuna mtu unamchokoza. Hivi akituma watu wakupeleke kwake na akwamwaga ung'eng'e wa maana mbele yako utasemaje?
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Hata Mimi nimemshangaa Mkuu. Mimi hapa kwa 100% kabisa 'Nimemlenga' Mzee wangu na Rafiki yangu sana Hashim Rungwe na Wali wake pia.Mbona mleta mada hajamtaja huyo mgombea au ndio kuweweseka?
Mkuu naona kuna mtu unamchokoza. Hivi akituma watu wakupeleke kwake na akwamwaga ung'eng'e wa maana mbele yako utasemaje?