Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

atapata consideration kwa 80%

kwa mfano kama yupo ka Kagame vile au Kigoda anapata % ngapi? will he be considered?

acheni maneno jamani mbona mi mfupi kwenda juu lakini naheshimika kwa urefu wa kwenda mbele!
 
una maanisha abdallah kichwa wazi ni mrefu?. Mungi
 
Last edited by a moderator:
kwa mfano kama yupo ka Kagame vile au Kigoda anapata % ngapi? will he be considered?

acheni maneno jamani mbona mi mfupi kwenda juu lakini naheshimika kwa urefu wa kwenda mbele!

duh, yan hao wembamba hata wakijificha nyuma ya nguzo ya umeme hawaonekani, ukimhug unazungusha mikono mara mbili lol!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom