Swali langu: Kulingana na maambukizo ya magonjwa yasiyotiba, Je kuna haja ya kufanya mabadiliko ya kisheria na kuweka kifungu kinachosema mume anaweza kumbaka mkewe?
Shadow.
Marital Rape Je Mume anaweza kumbaka mke wake?
Ni ukweli unaokubalika ya kwamba Mume na Mke katika zama hizi za kisasa wako sawa kama partners na kila mmoja akiwa na haki iliyo kamili kuhusiana na mihili yao.
Sheria za hapo mwanzo (Old Laws) ziliweza kumlinda mume kutukana na mashtaka ya kumbaka mke wake. Sheria hizi zimefutwa kabisa katika maeneo mataifa mengi humu duniani mfano Mume anaweza kustakiwa kwa kumbaka mke wake katika nchi kama Norway, Sweden, Denmark, Canada, majimbo mengi ya marekani, Australia, Israel na iliyokuwa Urusi.
Tanzania kwa mujibu wa sheria za makosa ya kujamiaana, Mume anaweza kushitakiwa kwa kosa la kumbaka mkeo kama mmetengana(SOSPA 1998)
Yote niliyoelezea hapo juu kuhusu usawa yamehainishwa vizuri na katiba ya Jam. ya Muungano ya Tanzania (Bill of Rights- Sura 13) Kuhusu binadamu wote ni sawa.
Swali langu: Kulingana na maambukizo ya magonjwa yasiyotiba, Je kuna haja ya kufanya mabadiliko ya kisheria na kuweka kifungu kinachosema mume anaweza kumbaka mkewe?
Shadow.
Ndugu yangu Babylon, chuki za kidini wapi. Nimezungumzia Talaka Rejea, ukimbaka mtalaka wako ndio umemrejea. Labda kama ni Talaka Tatu ndipo dini ya Kiislamu haikuruhusu kumrejea mpaka aolewe tena na mwanamume mwingine na aachike kwa Talaka Tatu ndipo unaweza sio kumrejea, bali kumuoa tena.Hapa namnukuu Pasco kwa kile alicho kisema eti katika dini ya kislam ukimwacha mke na kumuingilia hapo inakuwa umemrejea huo ni uongo ambao haufai au ni chuki za kidini kwani katika dini ya Kislam pindi mke ukisha mpa taka anakuwa sio mkeo ena na huruhusiwi kumuingia na ukifanya hivyo ni kufanya kosa la zina nakuomba uwe mkweli na uwaelimshe ya ukweli wale ambao hawajuwi nini kilichokuwemo katika uwislam na ndowa
Ndugu yangu Babylon, chuki za kidini wapi. Nimezungumzia Talaka Rejea, ukimbaka mtalaka wako ndio umemrejea. Labda kama ni Talaka Tatu ndipo dini ya Kiislamu haikuruhusu kumrejea mpaka aolewe tena na mwanamume mwingine na aachike kwa Talaka Tatu ndipo unaweza sio kumrejea, bali kumuoa tena.
Babylon, na hii chuki?.
.
Ndugu yangu Babylon, chuki za kidini wapi. Nimezungumzia Talaka Rejea, ukimbaka mtalaka wako ndio umemrejea. Labda kama ni Talaka Tatu ndipo dini ya Kiislamu haikuruhusu kumrejea mpaka aolewe tena na mwanamume mwingine na aachike kwa Talaka Tatu ndipo unaweza sio kumrejea, bali kumuoa tena.
Babylon, na hii chuki?.
.
Hapa namnukuu Pasco kwa kile alicho kisema eti katika dini ya kislam ukimwacha mke na kumuingilia hapo inakuwa umemrejea huo ni uongo ambao haufai au ni chuki za kidini kwani katika dini ya Kislam pindi mke ukisha mpa taka anakuwa sio mkeo ena na huruhusiwi kumuingia na ukifanya hivyo ni kufanya kosa la zina nakuomba uwe mkweli na uwaelimshe ya ukweli wale ambao hawajuwi nini kilichokuwemo katika uwislam na ndowa
Jamanieee, nendeni kule website ya bunge, mkadownload " The Law of Marriage Act 1971",
Mkiisoma, hakuna maswali tena. Pia angalieni "Sexual Offences Special provisions Act ya mwaka 1998, inaongelea mambo ya kubakabaka hayo. Sheria ile imeongea kwa lugha ya kueleweka tu, hamna lugha ya kisheria sana. Kule mtapata na mambo mengine kama kumwingilia mke kinyume na maumbile kama ni kosa kubwa sana, pia mwanamume anayemruhusu mume mwenzie amuingilie na yule anayemuingilia pia (mashoga na walawiti) pia kuna adhabu zake kali sana hapa.
Hivi tukiona kina anti anti mtaani hapa, hasa tunavyosikia huko Tanga, Zanzibar na maeneo ya Dsm na Pwani wanaoamua kuwa mashoga au wanaowaingilia wake zao au wanawake wowote wale kinyume na maumbile, au wanaowalawiti wanaume wenzao kwa kuamua au kutokuamua, kuna adhabu zake kule SOSPA.
Asanteni.
Tunabakwa kila siku na hatusemi (naomba mungu my huby asisome hapa BE)
Mubaya wewe ndio nini kusoma ktk ya misitari?sasa umeandika na unaogopa wakat umesema ukwel haya elendea kuogopa mwache aendelee kukubaka
Tunabakwa kila siku na hatusemi (naomba mungu my huby asisome hapa BE)