Je mwanamke unataka kufahamu mbinu za kumnasa kimahaba mwanaume unayempenda

Kuna desturi inayoaminika na kujengeka katika mahusiano kwamba wanaume ni wepesi sana wa kuwasilisha hoja na dhamira zao juu ya uhitaji wao pale wanapotaka kufanya mapenzi, kuliko wanawake.(ni wanawake wachache sana wenye ujasili kama huo.

Hata hivyo wanawake wana mbinu za kimatendo zinazoambatana na mahaba yenye hisia kali ili kuwakilisha dhamira yao kwa kile wanachokihataji katika swala la mapenzi.

Kwa utafiti nilioufanya kwa kuhojiana na wanawake, huwanga wanaumia sana na kutumia mda mwingi wa kufikiri na kuunda mikakati sitahiki kwa ajili ya kumunasa yule anayempenda hasa ambaye hajawahi kufanya naye tendo.

Kiukweli wanaume tonatofautina sana(kwa hapa kila mwanaume JamiiForums utasaidie udhaifu wake kuhusu kunaswa na mwanamke kimahaba).

Pamoja na yote hayo kuna binu inayoweza kumnasa kimahaba mwanume yoyote unayemhitaji, kwa kumtizama kwa jicho la kimahaba huku ukipapasa tumbo lako kuelekea sehemu ya kitovu, huku ukifunua nguo uliyoivaa kwa umbali unaweza ukamwambia unajisikia kuwasha kwa lugha ya uchokozi.
Uzi wako huu,leo umetingwa wewe
 
Kuna dada mmoja aliniambia anaomba nikampetipeti huku kanikazia macho ananiangalia usoni sikuwa nachakujibu nikazuga nikaondoka akaniambia hah umenikatalia.
Baada ya siku mbili alinipigia simu (hakuwa na namba yangu Kabla) akarudia hilo hilo nikamkubalia ili asihudhunike ila mpk leo sijaonana nae
 
Mie ukinifunulia Paja hata sishituki maana nishazoea yaona daily na vinguo vyenu vifupi mnavyotupia. Mie nionyeshe live hilo tundu la huzuni ndio kidogo utanihamasisha
 
Hii ya paja au kuacha wazi kyupi wanaitumia sana wadada hasa ukipata nafasi ya kuwa wawili sehemu. Na hiyo ni silaha za mwisho mwisho baada ya kuona silaha nyingine huzijafanikiwa.
 
Mie ukinifunulia Paja hata sishituki maana nishazoea yaona daily na vinguo vyenu vifupi mnavyotupia. Mie nionyeshe live hilo tundu la huzuni ndio kidogo utanihamasisha

Teheeee! Heti tundu la uzuni.sio la raha?
 
Back
Top Bottom