Je mwanamke unataka kufahamu mbinu za kumnasa kimahaba mwanaume unayempenda

Mhhh?hiyo mbinu imekaa kichangudoa hivi!What if jamaa hakutaki si ndio utakuwa umejidhalilisha?Mhhh!!!mie hiyo hapana kwa kweli bora tu nimwambie face to face kuwa nakupenda kuliko kujifunua funua

He he nlikuwa kitandani nikanyanyuka kutest hiyo mbinu....nikaishia kucheka tu...
Huyu shy land si mzima lol
 
He he nlikuwa kitandani nikanyanyuka kutest hiyo mbinu....nikaishia kucheka tu...
Huyu shy land si mzima lol

Wewe ni mzima, kwa hyo uzima wako umekusaidia nini??
 
Kweli jamaaa pumba kweli, kakosea zaidi ya mara 2! Sio mtanzania huyu , nunda kweli, mbona wabongo wajanja? Afu katoa sredi ya kike, au na yy anatunasa wanaume? Teh teh teh ....

thread za kiume zikoje wewe libwata la jf.
 
He he nlikuwa kitandani nikanyanyuka kutest hiyo mbinu....nikaishia kucheka tu...
Huyu shy land si mzima lol

Mwenyewe nimejaribu kwenye kioo...khaaa bora nife na duku duku langu rohoni.....
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom