Je mwanamke unataka kufahamu mbinu za kumnasa kimahaba mwanaume unayempenda

Nataka kujua unamfanyia hivyo mumeo/boyfriend alonuna au mtu huso na uhusiano nae wowote...

Maana haiingii akilini uanze tu kumshika mtu kitambi sijui tumbo...ubakaji huo sasa...
Labda kama mmepata bahati ya kucheza wote bluzi tetete...

Umenifanya nikumbuke bluzi za sekondari (high school)...hiyo ilikuwa tabia ya wanaume lakini...
 
ni kwa mtu ambeye unamtamini kimapenzi tu.
 
ni kwa mtu ambeye unamtamini kimapenzi tu.
kama wanaume wenyewe ni hawa hawa naowajua mimi unataka hao wadada wawe gumzo la ma blog...(maana siku hizi vijiwe vimepungua ...vimekuwa vya kidigitali)

refer kwa Daimond alivyomrekodi Wema na kurusha mitandaoni...hiyo ni maneno tu...nambie angemshika...te te te
 
wengine baibui..... wengine vigauni vifupi .... wengine sijui nini wanaita!
Ipo hatari wa wadada kuonekana wamewehuka! Hizi body lg huwa zina tafsiri tofauti jamani!
Kwangu mwanamke asihangaike na chochote, mii anionyeshe KISIGINO cha mguu wa kushoto!
Kwisha khabari yangu!
 
Ni kwel mamy maana unaweza onekana Malaya bure

Utaonekana malaya kama hutofanya kwa ufundi unaotakiwa, papasa kwa taratibu huku ukijifanya kama unawasha na unaongea kwa sauti nyororo na tamu masikioni. nakwambia lazma umunase.
 
Mie sihitaji hata kupewa signal. Nikiona macho ya ashiki huwa sina ujanja. Kama mbwa na chatu lazima nimezwe tu.
 
Back
Top Bottom