Ibn Unuq
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 5,296
- 9,656
Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa kufuata maadili fulani.
Wanachagua uhakika wa uhai wao na kizazi chao.
Madume wa ndege na wanyama tofauti:
Hupigana,
Huimba,
Hujionyesha,
Hujenga viota,
Hulinda, na
Hutafuta chakula.
Ili tu wawavutie na kuwamiliki majike.
Hiyo siyo romance,
Ni baiolojia.
Binadamu wanajaribu kuipinga asili na kufuata kanuni walizojiwekea za maadili, dini, na tafiti laini laini.
Lakini uteuzi unabaki uleule.
Mwanamke huvutiwa zaidi na mwanaume mwenye:
Nguvu: uwezo wa kujiongoza, kuongoza, kuendeleza vitu na
kusimama imara kwenye shinikizo.
Uwezo: akili na mbinu za kutatua changamoto kwenye maisha.
Hadhi: nafasi yako kwenye mfumo wa kijamii ikoje?
Usalama: unaweza kumlinda kimwili, kiakili na kihisia?
Leo, kesho, na hata wakati wowote wa hatari?
Mwaname mwenye sifa hizo anauwezo wa kumpa mwanamke fursa, ulinzi na uzoefu.
Unajua kwanini inashauriwa usioe mwanamke ambaye yuko kwenye nafasi yenye nguvu; Mwanasiasa, Mwanasheria, Mfanyabiashara mkubwa na wengineo?
Kwasababu tayari anao uwezo wa kupata ambacho ilitakiwa akipate toka kwa mwanaume.
Ndiyo maana ukiwa unamfuatilia mwanamke kama huyo atakuuliza una nini cha kunipa?
Hakikisha wewe ndiye unakuwa kwenye position ya nguvu, uwezo, hadhi au usalama muda wote.
Upendo huja baadaye.
Mvuto hutangulia.
Huwezi kushindana na asili.