Kama mwenzako alivyochoma hicho kitabu na haya maelezo yako yanapaswa kuchomwa piaMtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa kufuata maadili fulani.
Wanachagua uhakika wa uhai wao na kizazi chao.
Madume wa ndege na wanyama tofauti:
Hupigana,
Huimba,
Hujionyesha,
Hujenga viota,
Hulinda, na
Hutafuta chakula.
Ili tu wawavutie na kuwamiliki majike.
Hiyo siyo romance,
Ni baiolojia.
Binadamu wanajaribu kuipinga asili na kufuata kanuni walizojiwekea za maadili, dini, na tafiti laini laini.
Lakini uteuzi unabaki uleule.
Mwanamke huvutiwa zaidi na mwanaume mwenye:
Nguvu: uwezo wa kujiongoza, kuongoza, kuendeleza vitu na
kusimama imara kwenye shinikizo.
Uwezo: akili na mbinu za kutatua changamoto kwenye maisha.
Hadhi: nafasi yako kwenye mfumo wa kijamii ikoje?
Usalama: unaweza kumlinda kimwili, kiakili na kihisia?
Leo, kesho, na hata wakati wowote wa hatari?
Mwaname mwenye sifa hizo anauwezo wa kumpa mwanamke fursa, ulinzi na uzoefu.
Unajua kwanini inashauriwa usioe mwanamke ambaye yuko kwenye nafasi yenye nguvu; Mwanasiasa, Mwanasheria, Mfanyabiashara mkubwa na wengineo?
Kwasababu tayari anao uwezo wa kupata ambacho ilitakiwa akipate toka kwa mwanaume.
Ndiyo maana ukiwa unamfuatilia mwanamke kama huyo atakuuliza una nini cha kunipa?
Hakikisha wewe ndiye unakuwa kwenye position ya nguvu, uwezo, hadhi au usalama muda wote.
Upendo huja baadaye.
Mvuto hutangulia.
Huwezi kushindana na asili.
Alichoma kitabu kwasababu maelezo ya ndani yalikuwa yanazungumzia kumjali sana mwanamke kitu ambacho hakipatani na asili.Kama mwenzako alivyochoma hicho kitabu na haya maelezo yako yanapaswa kuchomwa pia
Maana wanawake huwezi kuwaelewa Kwa JUMLA JUMLA hivyo
Kila mwanamke ana namna yake ya kumwelewa Kwa kutumia akili binafsi za kiume wakati akiwa naye
Kuna wanawake Wana Hela za kuwatosha ukienda na hiyo idea yako unakwama
Mwanamke inatakiwa umwelewe Kila siku Kwa namna yake usimkariri
Kila mwanamke ana changamoto zake unique kabisa
Tahadhari Kwa wanandoa usiige Maisha ya ndoa ya mwenzako
Hili ndilo jibu sahihiKama mwenzako alivyochoma hicho kitabu na haya maelezo yako yanapaswa kuchomwa pia
Maana wanawake huwezi kuwaelewa Kwa JUMLA JUMLA hivyo
Kila mwanamke ana namna yake ya kumwelewa Kwa kutumia akili binafsi za kiume wakati akiwa naye
Kuna wanawake Wana Hela za kuwatosha ukienda na hiyo idea yako unakwama
Mwanamke inatakiwa umwelewe Kila siku Kwa namna yake usimkariri
Kila mwanamke ana changamoto zake unique kabisa
Tahadhari Kwa wanandoa usiige Maisha ya ndoa ya mwenzako
Hadi mama zetu?Wanawake wote ni mbwa😀
FactMtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa kufuata maadili fulani.
Wanachagua uhakika wa uhai wao na kizazi chao.
Madume wa ndege na wanyama tofauti:
Hupigana,
Huimba,
Hujionyesha,
Hujenga viota,
Hulinda, na
Hutafuta chakula.
Ili tu wawavutie na kuwamiliki majike.
Hiyo siyo romance,
Ni baiolojia.
Binadamu wanajaribu kuipinga asili na kufuata kanuni walizojiwekea za maadili, dini, na tafiti laini laini.
Lakini uteuzi unabaki uleule.
Mwanamke huvutiwa zaidi na mwanaume mwenye:
Nguvu: uwezo wa kujiongoza, kuongoza, kuendeleza vitu na
kusimama imara kwenye shinikizo.
Uwezo: akili na mbinu za kutatua changamoto kwenye maisha.
Hadhi: nafasi yako kwenye mfumo wa kijamii ikoje?
Usalama: unaweza kumlinda kimwili, kiakili na kihisia?
Leo, kesho, na hata wakati wowote wa hatari?
Mwaname mwenye sifa hizo anauwezo wa kumpa mwanamke fursa, ulinzi na uzoefu.
Unajua kwanini inashauriwa usioe mwanamke ambaye yuko kwenye nafasi yenye nguvu; Mwanasiasa, Mwanasheria, Mfanyabiashara mkubwa na wengineo?
Kwasababu tayari anao uwezo wa kupata ambacho ilitakiwa akipate toka kwa mwanaume.
Ndiyo maana ukiwa unamfuatilia mwanamke kama huyo atakuuliza una nini cha kunipa?
Hakikisha wewe ndiye unakuwa kwenye position ya nguvu, uwezo, hadhi au usalama muda wote.
Upendo huja baadaye.
Mvuto hutangulia.
Huwezi kushindana na asili.
SafiShida sio wanawake wanataka nini,shida ipo kwa mwanaume kama hajui anataka nini?
Mwanaume akijua anataka nini tatizo limeisha,unamchagua mwanamke kutokana na vigezo vyako,kama hajafikia vigezo vyako,unapiga chini na kumpata anayestahili
Wanaume tukiyajua haya tutaacha kulialia,nimeshatoka huko
Uliachokiandika mwanzo ndio fact from evolutionary psychology, maoni mengine yote yatakuwa blah blah nyingi tu zisizo na mashiko na zilizojaa emotions.Je, Mtizamo wako umekaa vipi kwenye hili?
Kila mtu achague anayemtaka kulingana na vigezo vyake.Shida sio wanawake wanataka nini,shida ipo kwa mwanaume kama hajui anataka nini?
Mwanaume akijua anataka nini tatizo limeisha,unamchagua mwanamke kutokana na vigezo vyako,kama hajafikia vigezo vyako,unapiga chini na kumpata anayestahili
Wanaume tukiyajua haya tutaacha kulialia,nimeshatoka huko
Thank uKama mwenzako alivyochoma hicho kitabu na haya maelezo yako yanapaswa kuchomwa pia
Maana wanawake huwezi kuwaelewa Kwa JUMLA JUMLA hivyo
Kila mwanamke ana namna yake ya kumwelewa Kwa kutumia akili binafsi za kiume wakati akiwa naye
Kuna wanawake Wana Hela za kuwatosha ukienda na hiyo idea yako unakwama
Mwanamke inatakiwa umwelewe Kila siku Kwa namna yake usimkariri
Kila mwanamke ana changamoto zake unique kabisa
Tahadhari Kwa wanandoa usiige Maisha ya ndoa ya mwenzako
Not me, not my mom🤣🤣Wanawake wote ni mbwa😀
Unaweza kumpa vyote na bado akakucheat.Wanawake wa saizi walio wengi wamegundua ajira mpya kupitia miili yao.
Hawataki tu kusema wazi kuwa tunakuuzia ila utawaona wakija indirectly.
Utasikia siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hanihudumii.
Haya, shida yako si hela na we ni jobless. Nikapambana nikamtafutia kazi anayolipwa hela nzuri tu.
Lakini vocha, nauli, hela ya kula, nguo. Vyote anaomba kwangu.
Na hapo anaishi kwao, na anampango wa kuhama akajipangie maana yake na kodi inaweza kuongezeka kwenye vizinga anavyopiga.
Nikagundua huyu mwanamke ni mbinafsi ambaye hana huruma na shukurani, nikamua kumlia buyu
Ndio maana mimi leo mtu akiniambia anaenda kununua malaya wala simshangai.
Mtu anaona bora atoe buku 10 achape asepe, kuliko kuingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kila siku anapiga vizinga na uhakika wa kuwa na bwana mwingine ni mkubwa.
Licha ya timu yako kuongoza goli 5-0 bado ukaona mambo yasiwe mengi ukaamua ku cashout mkekaUnaweza kumpa vyote na bado akakucheat.
Kuna siku nilisafiri, kiukweli mimi siku hizi naapenda kusafiri na haya mabasi ya usiku, na huwa nafanya hesabu zangu kuhakikisha napanda basi ambalo muda wa kufika niendako kumeshapambazuka kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa1 asubuhi.
Karibu na siti yangu kaja mdada yupo na begi lake, ameambatana na mume wake na mtoto mwenye umri kama miaka 3+. Kwa mwonekano, mwanaume yupo vizuri mfukoni kwa kweli, kawasindikiza na gari, dogo akilia kidogo tuu jamaa anaenda analeta chochote ili mradi wafurahi. Muda ukafika wa kuondoka. Njemba akambusu mkewe, akambusu mtoto, then akawapungia mkono wa kuwatakia safari njema. Safari ikaendelea, dogo akalala. Huyu bidada muda wote yupo bize na simu hata hajali mtoto. Akaamua amlaze mtoto kwenye mapaja yangu, imagine kichwa cha mtoto hadi kiuno vimelala kwenye mapaja yangu, alafu miguu ndo ipo kwa mama yake, na wala hakuniomba, niliona tu dogo anaegeshwa uelekeo wangu, mimi sikutaka iwe kesi nikapotezea.
Njia nzima ikawa hivyo. Mimi nikaamua kurevenge, nilikuwa na shuka langu la kimasai, nikajifunika na dogo pia nikamfunika, dogo anakoroma, nikapitisha mkono wangu wa kulia kuutafuta mkono wake wa kushoto, nikaona amenipokea bila hiyana, hapo juu ya mapaja yake. Baadaye kidogo nikapitisha mkono nauzamisha katikati ya mapaja yake napo niapokelewa fresh tuu. Ikawa huku tumemlaza dogo na huku tunapapasana, kidogo nikaona mtu joto lake limepanda mwili wa moto alafu genye zimeshampanda. Nikarudi kwenye zip ya suruali yake nikaifungua nikaanza kupitisha mkono nako nikapokelewa. njia nzima ilikuwa mwendo wa kupapasana tuu hadi tunafika na dogo alikuwa na usingizi balaa. wakati wa kushuka akaniomba namba alaf akauliza narudi lini, aaah kumbe siku ya kurudi kwake ndo siku yangu ya kurudi.
Niliposhuka tukaachana kuna akili fulani ikanijia, sura ya mumewe ikawa inanijia alafu huruma ikawa inanijia, hivi mtu hata hatujaongea kutongozana wala hatujachat kumtaka, kushikana tu mikono hadi kuichezea bustani yake ya edeni. Hivi huyu mwanaume anachapiwa kiasi gani? Siku iliyofuata alinitafuta ila nikamwambia nimetingwa na ubize wa kazi za ofisi, nikamhadaa kwamba nitamtafuta nikisettle. Hadi narudi sikumtafuta tena.
😎😎Kila mtu achague anayemtaka kulingana na vigezo vyake.
Hata sisi wanawake tunavyo vigezo vyetu, tukiona hautoshi humo tunakupiga chini, ndiyo mnakuja kusema humu kwamba hatueleweki.
Enzi tunakua tulikuwa tunaimba Wanaume wanapenda kumaliza shule na wanawake wanapenda mboga za majani ,sijuio ilikuwa ina maana gani.Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa kufuata maadili fulani.
Wanachagua uhakika wa uhai wao na kizazi chao.
Madume wa ndege na wanyama tofauti:
Hupigana,
Huimba,
Hujionyesha,
Hujenga viota,
Hulinda, na
Hutafuta chakula.
Ili tu wawavutie na kuwamiliki majike.
Hiyo siyo romance,
Ni baiolojia.
Binadamu wanajaribu kuipinga asili na kufuata kanuni walizojiwekea za maadili, dini, na tafiti laini laini.
Lakini uteuzi unabaki uleule.
Mwanamke huvutiwa zaidi na mwanaume mwenye:
Nguvu: uwezo wa kujiongoza, kuongoza, kuendeleza vitu na
kusimama imara kwenye shinikizo.
Uwezo: akili na mbinu za kutatua changamoto kwenye maisha.
Hadhi: nafasi yako kwenye mfumo wa kijamii ikoje?
Usalama: unaweza kumlinda kimwili, kiakili na kihisia?
Leo, kesho, na hata wakati wowote wa hatari?
Mwaname mwenye sifa hizo anauwezo wa kumpa mwanamke fursa, ulinzi na uzoefu.
Unajua kwanini inashauriwa usioe mwanamke ambaye yuko kwenye nafasi yenye nguvu; Mwanasiasa, Mwanasheria, Mfanyabiashara mkubwa na wengineo?
Kwasababu tayari anao uwezo wa kupata ambacho ilitakiwa akipate toka kwa mwanaume.
Ndiyo maana ukiwa unamfuatilia mwanamke kama huyo atakuuliza una nini cha kunipa?
Hakikisha wewe ndiye unakuwa kwenye position ya nguvu, uwezo, hadhi au usalama muda wote.
Upendo huja baadaye.
Mvuto hutangulia.
Huwezi kushindana na asili.
Ngoja nikuitie Seran labda huyo ndiyo anaweza kukutibu 😄