Unaweza kumpa vyote na bado akakucheat.
Kuna siku nilisafiri, kiukweli mimi siku hizi naapenda kusafiri na haya mabasi ya usiku, na huwa nafanya hesabu zangu kuhakikisha napanda basi ambalo muda wa kufika niendako kumeshapambazuka kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa1 asubuhi.
Karibu na siti yangu kaja mdada yupo na begi lake, ameambatana na mume wake na mtoto mwenye umri kama miaka 3+. Kwa mwonekano, mwanaume yupo vizuri mfukoni kwa kweli, kawasindikiza na gari, dogo akilia kidogo tuu jamaa anaenda analeta chochote ili mradi wafurahi. Muda ukafika wa kuondoka. Njemba akambusu mkewe, akambusu mtoto, then akawapungia mkono wa kuwatakia safari njema. Safari ikaendelea, dogo akalala. Huyu bidada muda wote yupo bize na simu hata hajali mtoto. Akaamua amlaze mtoto kwenye mapaja yangu, imagine kichwa cha mtoto hadi kiuno vimelala kwenye mapaja yangu, alafu miguu ndo ipo kwa mama yake, na wala hakuniomba, niliona tu dogo anaegeshwa uelekeo wangu, mimi sikutaka iwe kesi nikapotezea.
Njia nzima ikawa hivyo. Mimi nikaamua kurevenge, nilikuwa na shuka langu la kimasai, nikajifunika na dogo pia nikamfunika, dogo anakoroma, nikapitisha mkono wangu wa kulia kuutafuta mkono wake wa kushoto, nikaona amenipokea bila hiyana, hapo juu ya mapaja yake. Baadaye kidogo nikapitisha mkono nauzamisha katikati ya mapaja yake napo niapokelewa fresh tuu. Ikawa huku tumemlaza dogo na huku tunapapasana, kidogo nikaona mtu joto lake limepanda mwili wa moto alafu genye zimeshampanda. Nikarudi kwenye zip ya suruali yake nikaifungua nikaanza kupitisha mkono nako nikapokelewa. njia nzima ilikuwa mwendo wa kupapasana tuu hadi tunafika na dogo alikuwa na usingizi balaa. wakati wa kushuka akaniomba namba alaf akauliza narudi lini, aaah kumbe siku ya kurudi kwake ndo siku yangu ya kurudi.
Niliposhuka tukaachana kuna akili fulani ikanijia, sura ya mumewe ikawa inanijia alafu huruma ikawa inanijia, hivi mtu hata hatujaongea kutongozana wala hatujachat kumtaka, kushikana tu mikono hadi kuichezea bustani yake ya edeni. Hivi huyu mwanaume anachapiwa kiasi gani? Siku iliyofuata alinitafuta ila nikamwambia nimetingwa na ubize wa kazi za ofisi, nikamhadaa kwamba nitamtafuta nikisettle. Hadi narudi sikumtafuta tena.