Je, mwaka huu kutakuwa na sherehe za uhuru?

Je, mwaka huu kutakuwa na sherehe za uhuru?

Kwanza anazo hela za kufanyia hela anafirisi nchi hana hata senti tano ya kulipa wa piga gwaride hata magwanda na ma boot hawana jamaa karikoroga
 
Sherehe zipo kama kawaida mwaka huu.... Jiandae tu kushuhudia gwaride la Jeshi letu imara kabisa...Hizo barabara tafuta mbunge na madiwani wake.....
 
Watapataje sifa ...anasubiri wakosee ndo atoe tamko mahsdhimisho hayapo, kila kitu ni hiyana tu sahivi.
 
Back
Top Bottom