Hii ndo hadithi ya kweli ya Santa clause...
Tsh cotterpin et all
View: https://youtu.be/4xZwtwmoxF8?si=CG91icN7sDx3ltLp
Unakumbuka nilicho kuandikia hapo juu ya hiki ulicho uliza ?Kwanini usiboreshe kidogo mada kwa kuleta reference ya kimaandiko ya MUNGU awezaye yote wa imani A hilo swala likajadiliwa kwa misingi na reference ya imani husika na si nje ya hapo?
Bolded.Ni lipi wewe umeona ?
Fanya mpango uilete full story kama thread mkuu.😅In what is now Turkey, St. Nicholas was the bishop of Myra.
Naijua mkuu.
Kwani kuna ubaya wa kuboresha mada ukapata watu wa imani husika wa kuijadili ili tujue ni kweli MUNGU wa imani husika ni muweza wa yote?Unakumbuka nilicho kuandikia hapo juu ya hiki ulicho uliza ?
Unakumbuka nilicho kuandikia ?Kwani kuna ubaya wa kuboresha mada ukapata watu wa imani husika wa kuijadili ili tujue ni kweli MUNGU wa imani husika ni muweza wa yote?
Au ni kweli nia yako ni mabishano kati ya waamini na wasioamini server zijae bila hitimisho lolote?
Ok, Tunaweza kuishia hapa. Wewe ukisisitiza katika ulichoandika na mm nikisisitiza katika mada isiyo general tu. Ngoja tujadiliane na wachangiaji wengine.Unakumbuka nilicho kuandikia ?
I've never force anyone even my kids i can't force them...If you don't believe God's existence and teach your kids about that, that's your right,
Please just let the rest make their choices too.
AyaThat's your right,
let the rest of us make our choices too.
Na id yako inasadifuHakika kamanda ili swali huwa linanifanya nisiende kanisani kama nikienda ujue huwa naenda kutafuta samaki ya kuivua.
Sema hivyo until mtoto wako au mzazi wako apande ndege ambayo inapelekwa kulipua jengo kisa wameaminishwa watapewa bikra 72 ndo utajua why Imani ni kitu kibaya.Ndo maana nasema ni tatizo la Afya ya akili.
Mfano, umeamua kuwa kuna ng'ombe na ukaamini hilo na ukaishi kwa misingi na maelekezo ya huyo ng'ombe wako halafu anatokea mtu asiyeamini uwepo wa ng'ombe wako anataka mumjadili ng'ombe nje ya misingi ya imani iliyomfanya huyo ng'ombe awepo kwenye fikra zako, huyo mtu atakuwa sawa kichwani?
Ni nini haswa kinachochokonoa ubongo kuangaika na mfumo wa maisha wa kiimani usiouamini na kutaka uujadili nje ya imani kama sio tatizo la Afya ya akili?
There is no need to correct casual comments by others and insult them.I've never force anyone even my kids i can't force them...
hivi unafikiria kupitia ubongo gani ndugu yangu..!?
kama unaona ulichoandika kipo sawa hongera sana ndugu ila si bure nyie watu mlioshikwa na hizi dini kuna ubongo mwengine mnautumia si huu ubongo wa binadamu!🤣
🤣🤣🤣🤣Vizazi na Vizazi viliamini uchawi, flat earth, dunia kuzunguka jua, slavery kuwa sawa, racism, women kuwa kama property etc..just because watu wengi kwa mda mrefu wameamini kitu doesn't make it rytInawezekana ukaamini hilo na ukatengeneza fikra katika kichwa chako za uwepo wake na ukazirudisha katika maisha halisi na zikakugusa moja kwa moja in a +ve or -ve way.
Imani ya uwepo wa MUNGU imekuwepo tangu enzi na enzi na haifutiki, unadhani vizazi na vizazi vilivyoamini vina akili ndogo kukushinda?
Haya masuala yapo nje ya uwezo wako kiimani, na ukitaka uyajadili nje ya imani hapo ndipo tatizo la Afya ya akili linapojionyesha.
🤣🤣Usichanganye hope na faith..Mimi kuamini man u itashinda game is based on facts, Mimi kuamini kesho nitakuwepo is based on wat I know now, nikiumwa moyo ghafla nikawa ICU naweza kuamini kesho sitokuwepo kutokana na hiyo info niliyonayo...faith ni kumwambia mtu kuwa Kuna mtu Mungu alikuja miaka 2000 iliyopita Akafa na akafufuka na atarudi "soon" na farasi anayepaa.Katika uhalisia hakuna mtu asiyeishi kwa imani. Suala ni kwamba anaamini nini? Mtu hajui kama kesho atakuwepo, ila anapanga mipango ya kesho, kwanini? Kwa sababu anaamini atakuwepo kesho ila ukimwambia leta ushahidi kuwa kesho atakuwepo hana.
🤣🤣🤣🤣Vizazi na Vizazi viliamini uchawi, flat earth, dunia kuzunguka jua, slavery kuwa sawa, racism, women kuwa kama property etc..just because watu wengi kwa mda mrefu wameamini kitu doesn't make it ryt
Unavyosema hivyo ni sawa na useme Vizazi vimekeketa wanawake so...hawawezi kuwa na akili ndogo..fikra kama zako za kuappeal majority au tradition ndo maana inafanya Tanzania kuwa sawa Kwa miaka 60 yote ya uhuru wake huku wazungu wakituacha miaka 200 nyuma
Hakuna hope bila faith usidanganye boss. Wewe unamatumaini kuwa kesho utakuwepo ila huamini? Hiyo ni nini?🤣🤣Usichanganye hope na faith..Mimi kuamini man u itashinda game is based on facts, Mimi kuamini kesho nitakuwepo is based on wat I know now, nikiumwa moyo ghafla nikawa ICU naweza kuamini kesho sitokuwepo kutokana na hiyo info niliyonayo...faith ni kumwambia mtu kuwa Kuna mtu Mungu alikuja miaka 2000 iliyopita Akafa na akafufuka na atarudi "soon" na farasi anayepaa.
Usifananishe basic human life principles na ujinga uliyorithishwa na mkoloni
hakuna tusi hapo au na matusi hujui yapoje nikufundisheThere is no need to correct casual comments by others and insult them.