Je, Mungu ni muweza wa yote?

Je, Mungu ni muweza wa yote?

🤣Tumeshakataza mambo ya rohoni...rohoni rohoni ndo Nini..where is it...which...what...majini mashetani wako wapi...unatuambia hatuoni we unaona, tuonyeshe Bac
Mnamake stories afu mnakimbilia mambo ya kiroho kama kichaka
Muache ujinga sasa wa kuuliza masuala ya kiroho. Ushaambiwa masuala ya MUNGU ni masuala ya kiroho, ya kiimani halafu mnataka kuyajadili nje ya imani za kiroho. Hilo si ni tatizo la afya ya akili sasa? 😀
 
God is not the kind of thing that could be tested by the methods of natural science. The reason is that God is not a part of the observable universe, but rather the transcendent cause of the universe. So the inability of modern science to confirm God’s existence does not show that belief in God is unwarranted or irrational; but only that modern science does not have a monopoly on warranted rational belief about what exists.
Bac naamini Santa Claus yupo
 
Muache ujinga sasa wa kuuliza masuala ya kiroho. Ushaambiwa masuala ya MUNGU ni masuala ya kiroho, ya kiimani halafu mnataka kuyajadili nje ya imani za kiroho. Hilo si ni tatizo la afya ya akili sasa? 😀
🤣Tukiuliza mtu kiroho ni nini anajizugazuga..tofauti ya ulimwengu wa kiroho na story za kutunga nini asa..hata mi naweza sema Kuna ngombe mwenye vichwa Saba anapaa nakutoa moto ila nyie hamuoni yupo kwenye ulimwengu wa kiroho..🤣ni utoto tu
 
Je, Mungu ni muweza wa yote?

Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.

Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa machache tena yale tu yanayo kufurahisha.
Kwanza kabisa, kuweza yote ni nini na unajuaje kuweza yote kunawezekana na si dhana tu ambayo kiuhalisia, nje ya fikra, haiwezekani?

Mfano, kuweza yote kunajumuisha kuweza kufanya mambo mawili yanayopingana ambayo hayawezi kufanyika kwa pamoja?
 
🤣Tukiuliza mtu kiroho ni nini anajizugazuga..tofauti ya ulimwengu wa kiroho na story za kutunga nini asa..hata mi naweza sema Kuna ngombe mwenye vichwa Saba anapaa nakutoa moto ila nyie hamuoni yupo kwenye ulimwengu wa kiroho..🤣ni utoto tu
Ndo maana nasema ni tatizo la Afya ya akili.

Mfano, umeamua kuwa kuna ng'ombe na ukaamini hilo na ukaishi kwa misingi na maelekezo ya huyo ng'ombe wako halafu anatokea mtu asiyeamini uwepo wa ng'ombe wako anataka mumjadili ng'ombe nje ya misingi ya imani iliyomfanya huyo ng'ombe awepo kwenye fikra zako, huyo mtu atakuwa sawa kichwani?

Ni nini haswa kinachochokonoa ubongo kuangaika na mfumo wa maisha wa kiimani usiouamini na kutaka uujadili nje ya imani kama sio tatizo la Afya ya akili?
 
Bac naamini Santa Claus yupo
Inawezekana ukaamini hilo na ukatengeneza fikra katika kichwa chako za uwepo wake na ukazirudisha katika maisha halisi na zikakugusa moja kwa moja in a +ve or -ve way.

Imani ya uwepo wa MUNGU imekuwepo tangu enzi na enzi na haifutiki, unadhani vizazi na vizazi vilivyoamini vina akili ndogo kukushinda?

Haya masuala yapo nje ya uwezo wako kiimani, na ukitaka uyajadili nje ya imani hapo ndipo tatizo la Afya ya akili linapojionyesha.
 
That not applies to people with NO beliefs, but people with different sincerely held beliefs.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
That not applies to people with NO beliefs

Katika uhalisia hakuna mtu asiyeishi kwa imani. Suala ni kwamba anaamini nini? Mtu hajui kama kesho atakuwepo, ila anapanga mipango ya kesho, kwanini? Kwa sababu anaamini atakuwepo kesho ila ukimwambia leta ushahidi kuwa kesho atakuwepo hana.
 
Ni kweli kila mtu ana amini.
Nilimaanisha imani kuhusu Mungu na mambo ya kiroho.
Ni rahisi sana agnostic kukuelewa kuliko atheist.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Unataka mjadala wa kiimani bila kuwa specific imani ipi? Tutatumia reference za maandiko yapi?
Wewe tumia imani unayo ona inaendana na mada kama hamna waachie watakao weza.
 
Wewe tumia imani unayo ona inaendana na mada kama hamna waachie watakao weza.
Mtabishana tu bila fact za kiimani wala maandiko. Hoja zitakuwa katikati hapo, Kwa ufupi unachotaka ni mabishano yasiyo na hitimisho lenye maana.

Mada ingejadilika kama ingekuja na reference ya imani ya dini fulani kuhusu uwepo wa MUNGU awezaye yote kisha watu wanaweza chambua tafsiri yake kwa misingi ya hiyo imani si nje ya hapo.
 
Mtabishana tu bila fact za kiimani wala maandiko. Hoja zitakuwa katikati hapo, Kwa ufupi unachotaka ni mabishano yasiyo na hitimisho lenye maana.
Umeamua kuisemea akili yako. Kwa uwezo wako wa akili upo sawa
 
Back
Top Bottom