Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Nami naomba nichangie katika hili. Dhambi si kitu useme imeumbwa na Mungu, dhambi ni hali ambayo inamfanya mwanadamu ajiweke mbali na Mungu kutokana na mawazo yake, matendo yake, na ata maneno yake wakati mwingine. Kama ilivyo mbingu si sehemu bali ni hali ya kuwa katika ukalibu na Mungu. Vitabu vya dini vipo wazi sana shida yetu tulio wengi tunasoma " literally " . Mungu amemuumba binadamu na malaika wakiwa huru kama ishara ya upendo kwa viumbe vyake, maana pasipo Uhuru akuna upendo na Uhuru bila nidhamu utupeleka upotovuni ndio maana Mungu akaluhusu viumbe vikose vikiamua lakini alishawajuza maana ndani ya mioyo yetu Mungu mwenyewe ameweka sheria zake. Shida walioipata malaika ndio tuipatayo wanadamu kukataa kuwa viumbe na kutaka kuwa Mungu, ukijichubguza vyema utaona ndani yako kuna maelekeo au matamanio ya wewe kuwa Mungu wa maisha yako. Kifo kinachozungumziwa kwenye maandiko matakatifu sio physical death bali ni spiritual death na ndio maana Adam na Eva walipo kula tunda ( walipo asi ) walijihisi kuwa mbali na Mungu that we call physical death. So in any way we can not escap physical death.
 
Good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What's the main causative of sins?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia logic, "Mungu ni Muumba wa vyote" dhambi ikiwemo. Jibu ni ndio isiyokuwa na mashaka. Hakuna free Will!!
 
Umekusanya dini zote kwenye kapu moja ila hoja zako umejenga kwenye msingi wa mafundisho ya biblia pekee.

Hili jambo linafanywa sana humu sijui ni kwanini?
Amefanya hivyo huenda ni kwasababu anaona biblia ndiyo kitabu ambacho yamkini amewahi kusoma maandiko yake mara kadhaa, ko wewe jibu hoja kwa jinsi ulivyoielewa usione kama ni mbaguzi, hapana, wewe jibu hoja ulizozielewa!
 
Mkuu hii hoja imenichekesha sana 😂😂
 
Mkuu hii hoja imenichekesha sana 😂😂
 
Amefanya hivyo huenda ni kwasababu anaona biblia ndiyo kitabu ambacho yamkini amewahi kusoma maandiko yake mara kadhaa, ko wewe jibu hoja kwa jinsi ulivyoielewa usione kama ni mbaguzi, hapana, wewe jibu hoja ulizozielewa!
Hakika mkuu
 
Sisi wayahudi tunaamini mungu ana pande mbili, hasi na chanya,, vyote kaumba yeye, mema na mabaya,,, hata bible imeeleza wazi, God created evil
 
Na ujue kwa mujibu waa biblia, shetani hukutana na kujadiliana mambo mbalimbali na mungu, ikiwemo kuwajaribu watu, rejea kipindi shetani anamjaribu yesu,, au yule jamaa aliefiwa na family yote na akabaki masikini hohe hohe,,,,
 
Shetàni hauwi,, hana huo uwezo, kila mtu amepangiwa atakufaje kwa mujibu wa maandiko,, shetani hana kosa lolote,, [emoji23][emoji23][emoji23]
In short hakuna shetani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Na ujue kwa mujibu waa biblia, shetani hukutana na kujadiliana mambo mbalimbali na mungu, ikiwemo kuwajaribu watu, rejea kipindi shetani anamjaribu yesu,, au yule jamaa aliefiwa na family yote na akabaki masikini hohe hohe,,,,
Manaake Mungu huruhusu majaribu kwa makusudi fulani.
 
Maandiko yanadai, mungu aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili asiwatoe waisrael ili mungu apate kuwauwa wamisri,,
Mungu huyo huyo alimnyatia moses, akiruka mashonde hapa na pale na akimvizia kumuua moses,, hatimae mungu akamkaba kabali ya nguvu moses akitaka kumtoa roho,,
Kama si mke wa moses kuwahi kumkata govi mtoto wa moses, sàa hizi tungekuwa tunaongea habari nyingine kabisa[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ndio
 
Nilivyokua nasoma comments mwili ulikua Unapatwa ubaridi kwa uwoga!!
Usihofu, mungu ni mwanademokrasia, hakuzuii kufikiri , kuwaza na kutafuta jibu,, tukizidi kuhoji atashuka mwenyewe kuleta majibu[emoji3257][emoji3257]
 
Kwanza mtoa hoja lazima ujue Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakob, Mussa na Elia ndiyo Mungu mkuu, LAKINI kuna MIUNGU mingine.

Na ndiyo maana katika amri 10 aliyopewa Mussa pale mlima Sinai amri ya kwanza kabisa inasema hivi " Usiwe na miungu mingine ila mimi tu"

Kwa hiyo kuwekana sawa katika mjadala huu tujue kwamba Mungu Mwenyezi alijua kuna Miungu wengine ambao wana nguvu pia.

Kwa hiyo bali ulimwengu huu uliumbwa ukiwa na Miungu wengi naMalaika wengi.
 
Focus ya mjadala ipo kwa Mungu mkuu
 
Focus ya mjadala ipo kwa Mungu mkuu
yes ni kweli, ila tujue pia ulimwengu hu una sheria zake hivyo overall si Mungu huyu Mkuu kufanya kila jambo atakalo hapana ni lazima afuate sheria za uumbaji wa ulimwengu.

Na ndiyo maana ilikuwa hamna namna ya ondoleo la dhambi la ulimwengu bila Yesu Kristo kufa msalabani - Swali je Mungu kwa nini aliruhusu hilo? hakukuwa na njia nyingine sababu yeye ni muweza wa yote?

Jibu: Ulimwengu una Sheria na Mungu pamoja na uweza wake hataki kuziruka ni lazima zifuatwe.

Kwa hiyo Dhambi ni zao la Miungu mingine kujaribu kupambana na Mungu Mkuu, maana sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu Mkuu, sasa miungu mingine inajaribu kuturubuni ili tumchukie muumba wetu na tuiabudu yenyewe.

Hii miungu ina nguvu pia, jiulize mchawi anaruka angani ama anaingia kwako usiku wakati mlango umefungwa, Je hiyo nguvu anapata wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…