Mkuu Saguda47 ndio maana watu wana conclude kwamba Mungu hayupo kwa dhana hiyohiyo.Hilo swali gumu sana na huwezi kulijibu mpaka utakufa.
Mkuu Saguda47 ndio maana watu wana conclude kwamba Mungu hayupo kwa dhana hiyohiyo.
Kwamba kama Mungu ndiye aliumba ulimwengu, bila shaka yeye Mungu ni complex kuliko ulimwengu aliouumba.
Sasa kama ulimwengu ambao kwa muktadha huo, ni less complex kulinganisha na aliyeuumba, sasa kwanini iwe lazima uwe umeumbwa!?
Basi kama kitu simple kama ulimwengu (kwa muktadha huo) ni lazima kiumbwe yaani hakiwezi kutokea chenyewe, vipi kwa kitu complex!? Basi na chenyewe lazima kimeubwa na object ambayo ni even complex than it.
Basi kumbe, kama Mungu(ambaye ni so complex) hakuumbwa basi kunauwezekano hata universe(ambayo ni simple) haikuumbwa.
Unajua mkuu, kadiri ya maoni ya wengi gasa wanazuoni ni kuwa, Yawezekana Mungu kweli yupo, lakini si wa sifa hizi zinazoubiriwa na Abrahamic Religions (ukristu, uislamu na uyahudi), kwa sababu kuna mengi sana yanayo contradict kumuhusu.Ukiamini Mungu yupo ! Jibu ni rahisi , ni yeye aliyeweka mwanga na giza hivyo dhambi ipo ndani ya giza .
Uyo mungu alitokea wapi?Kama unaamini hakuna Mungu huna la kujibu ila kama unaamini yupo basi aliumba kila kitu na dhambi ipo ndani ya " kila kitu " hivyo Mungu aliumba dhambi" utauliza kwa nini! Ukifa utaonana nae na utamuuliza kwa nini uturushie mrejesho huku duniani
Kwani nani amesema Mungu kaumbwa hadi tumtafute aliyemuumba?Na hapo kwenye hoja hii uliyotoa unaweza kujiuliza swali hili:
Kama Mungu aliumba universe, Je yeye aliumbwa na nani!?
Yapi yenye kucontradict?Unajua mkuu, kadiri ya maoni ya wengi gasa wanazuoni ni kuwa, Yawezekana Mungu kweli yupo, lakini si wa sifa hizi zinazoubiriwa na Abrahamic Religions (ukristu, uislamu na uyahudi), kwa sababu kuna mengi sana yanayo contradict kumuhusu.
Lakini hata hivyo imani juu ya uwepo wa mungu linabaki ni suala binafsi ya maamuzi ya mtu husika.
Kwani sasa yupo wapi hadi uulize alipotoka?Uyo mungu alitokea wapi?
Mkuu, kwa hiyo unakubali kwamba inawezekana kitu kisiwe kimeumbwa lakini kikawepo? Yaani kikawepo bila kuumbwa!?Kwani nani amesema Mungu kaumbwa hadi tumtafute aliyemuumba?
Kwa mfano jibu swali hili mkuu, Je Mungu yupo kila mahali!?Yapi yenye kucontradict?
Kitu kama kimeumbwa basi lazima kuna muuumbaji ambaye ndiye aliyeumba hicho kitu,sasa wanaosema kuwa huu ulimwengu umeumbwa husema kuwa aliyeumba ni Mungu kwamba ndio muumbaji.Mkuu, kwa hiyo unakubali kwamba inawezekana kitu kisiwe kimeumbwa lakini kikawepo? Yaani kikawepo bila kuumbwa!?
Kuwa kila mahali kwa maana ipi au wewe unaelewa vp Mungu kuwa kila mahali?Kwa mfano jibu swali hili mkuu, Je Mungu yupo kila mahali!?
Kwenye hiyo para ya mwisho mkuu.Kitu kama kimeumbwa basi lazima kuna muuumbaji ambaye ndiye aliyeumba hicho kitu,sasa wanaosema kuwa huu ulimwengu umeumbwa husema kuwa aliyeumba ni Mungu kwamba ndio muumbaji.
Sasa wewe ukauliza na Mungu kaumbwa na nani? Ndio nikakuuliza kwani nani aliyesema Mungu kaumbwa hadi tumtafute aliyemuumba?
Sasa hilo kwamba vitu vinaweza kutokea tu bila kuumbwa au lazima viumbwe ni suala jengine,kama wewe unaona kitu kinaweza kutokea tu chenyewe bila kuumbwa hivyo unapingana na wanaodai kuwa ulimwebgu umeumbwa basi sawa.
Ndiyo maana nilisema kwamba kitu chochote ambacho tukisema kimeumbwa basi lazima kuwe kuna muumbaji wa hicho kitu,na tulichokuwa tukijadili ni swali lako ulilouliza aliyemuumba Mungu? nikakwambia kuwa hakuna anayesema Mungu kaumbwa hivyo hatuwezi kumtafuta muumbaji wa kitu ambacho hakijaumbwa.Kwenye hiyo para ya mwisho mkuu.
Kama mtu unaamini kuwa Mungu amekuwepo bila kuumbwa, its obvious kumbe kuna vitu vipo bila kuumbwa!?
Au wewe unajuaje hapo!? Je, Mungu yupo bila kuumbwa!?
Mkuu, nakubaliana na wewe kwamba kwa unavyoamini ni kuwa Mungu hajaumbwa, na wala hata mimi, kwa sasa sitaki kujua kama Mungu ameumbwa au la!Ndiyo maana nilisema kwamba kitu chochote ambacho tukisema kimeumbwa basi lazima kuwe kuna muumbaji wa hicho kitu,na tulichokuwa tukijadili ni swali lako ulilouliza aliyemuumba Mungu? nikakwambia kuwa hakuna anayesema Mungu kaumbwa hivyo hatuwezi kumtafuta muumbaji wa kitu ambacho hakijaumbwa.
Na kuhusu Mungu ni kwamba yeye ndiye pekee muumbaji hakuna mwengine,kwa hivyo vyote vile ambavyo tutasema vimeumbwa basi muumbaji ni Mungu tu na si vinginevyo.
Kwahiyo si tu kwamba Mungu hajaumbwa bali yeye ndio pekee muumbaji.
Kama vitu gani mkuu?Mkuu, nakubaliana na wewe kwamba kwa unavyoamini ni kuwa Mungu hajaumbwa, na wala hata mimi, kwa sasa sitaki kujua kama Mungu ameumbwa au la!
Ninachotaka kujua kutoka kwako ni kupitia jibu utakalolitoa la swali hili:
Je, unakubali kwamba kuna vitu vinaweza tokea vyenyewe bila kuumbwa!?
Mungu n.kKama vitu gani mkuu?
Mungu tumekubaliana kuwa hajaumbwa,sasa hivyo vitu vyengine ambavyo vipo tu havijaumbwa ni vitu gani?Mungu n.k