Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,992
- 131,922
Ohoo kwaiyo zile habari za kusema kuran imekamilika haina shaka ndani yake kwasababu haijaacha kitu kumbe ni rumors tu ambazo zinapawa kupuuzwa right?Hakuna kitabu chenye information zote kuhusu Mungu.
Kwamba una maana yako nyingine ambayo inaonesha kuran haijaacha kitu?Na Aliyekuambia Qurani haijaacha kitu kwa maana hii ya kila kitu haiko sahihi ama amekusudia vitu vingine.
Kasema yeye au kuran imeandika kua yeye amesema?Kwa sababu yeye kasema kuwa ni mjuzi wa kila kitu.
Inshort ni kwamba waandishi wa hivi vitabu walikua wamejificha kwenye matuta ya karanga wakitegemea yale matawi ya karanga yatawastiri wasigundulikeNa hata hapo pahala pia anapajua pia kwa sababu ya huo ujuzi wake.
Hapo nadhani hata wewe pamoja na ufia dini wako huwezi kubaliana na fact hiyo kwamba mungu alikuwepo kabla halafu huko alikokuwepo hakufahamiki na wala haijulikani nani alikuumba huko