Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,863
- 131,520
Pale alipo wapi?Aliumba vitu hivyo akiwa pale alipo.
Kwa sababu hata baada ya kuviumba bado hayo sio makazi yake
Nataka kujua hapo alipokua kipindi anaumba hivyo vitu palikua ni wapi
Pale alipo wapi?Aliumba vitu hivyo akiwa pale alipo.
Kwa sababu hata baada ya kuviumba bado hayo sio makazi yake
- Alipo andika miaka 6000 alikua anamaanisha nini?Kuna tofauti kati ya utaratibu na uumbaji.Hapa tunazungumzia uumbaji mkuu.Sitambui habari ya siku kuwa na saa 24 ila natambua Mungu aliumba Muda panapo bing bang pamoja na mifumo yote ikiwemo jua na sayari zake zinazoizunguka na kujizungusha yenyewe.Biblia inaposema Mungu akafanya upinde wa mvua kama ishara ya agano sayansi inatueleza sasa ni kwa jinsi gani alifanya kwamba mwale wa mwanga unapopita katikati ya tone la maji huonyesha rangi zake 7 ROYGBIV.Lakini Biblia haielezi kwa upana huo.
- Nitaandika kama nilivyo andika mwanzo, as far as religion is concerned biblia sio theory bali ni kitabu chenye maneno ya kiimani, On the other hand science is based on proven facts."Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika"
Biblia imeandika wazi kabisa kwamba hapo mwanzo palikuwepo na yule aliyepo nje ya muda wa ulimwengu ambaye ndiye chanzo cha bing bang ambaye aliumba muda wa ulimwengu na vyote vilivyomo
Unaweza eleza kwa ushahidi?
ila kwa misingi ya dini unatakiwa uamini hivyo blindly and without questions.
Mkuu hivi fundi ujenzi akijenga nyumba anakuwa wapi?Pale alipo wapi?
Nataka kujua hapo alipokua kipindi anaumba hivyo vitu palikua ni wapi
Sura gani mkuu?Nenda kasome Qur'an:---
21:30------ on Big bang.
21:104----on Black hole.
51:47-----on expanding universe.
Pia Qur'an inasema kuna viumbe wengine katika anga za juu (heavens) na Allah akipenda atatuunganisha nao, yaani Allah akitaka atatuunganisha kwa njia ya mawasiliano na hao viumbe (intelligent beings).
Nani alifasiri siku sita kama nyakati sita. Nyakati ni nini hasa ?Hizo "siku" sita ni nyakati sita.
Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.
Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.
Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Wanajiandaa, muda siimrefu watafika.Wafia dini wanakuja kuaribu huu Uzi sio mda mrefu.
Wakikujibu ni tagAlikua akiumba hivyo vitu akiwa wapi?
Hapo alipokua paliumbwa na nani?
Mkuu watakuja na vifungu hapa vya vitishoWakikujibu ni tag
From religion point of view! We are all blind people moving around in an environment infested with racing cars.. and the only thing that gives us hope is the belief that ts safe once we get on the other side (without knowing what's on the other side)[emoji1][emoji1][emoji1]. Faith without doubts/questions.Imani ya aina hiyo ni "baseless",
believing in something blindly is like a blind person moving around in an environment infested with racing cars, can you imagine what would happen in that event??!
Wafia dini wanakuja kuaribu huu Uzi sio mda mrefu.
From religion point of view! We are all blind people moving around in an environment infested with racing cars.. and the only thing that gives us hope is the belief that ts safe once we get on the other side (without knowing what's on the other side)[emoji1][emoji1][emoji1]. Faith without doubts/questions.
-Faith means being sure of the unseen[emoji1][emoji1][emoji1] Maandiko yasemavyo unatakiwa uamini bila kujali unachoamini kinaleta maana kwako au la.A religion which mould a man minds into that way of blindness is the dead one.
Unataka upajue kwa jina ?Pale alipo wapi?
Nataka kujua hapo alipokua kipindi anaumba hivyo vitu palikua ni wapi
Kuna watu kwa kujifanya Vijuzi hamjambo... Vinaongea utadhani vinamfahamu Mungu... Eti Mungu hali wala hanywi n.k n.k wewe kama ni muumini unatakiwa ufuate maandiko na hutakiwi kuleta akili zako za kubadilisha maneno haya na kuyageuza kuwa mengine... Imeandikwa Dunia na Viumbe vimeubwa kwa Siku Sita na Siku moja kwa Mungu ni Miaka elfu kubali tu kwani ndio maandiko wewe huna la kubisha kama ulivyo na asili yako ya ubishi tulia acha kubishana na Maandiko.... Siku moja ni sawa na Miaka Elfu unabisha katafute Mungu wako Mwingine utakayekuwa unabishana nae kwa kumgeuzia maneno utakayo wewe... Ole wao watakao badilisha nano katika kitabu chake...Hizo "siku" sita ni nyakati sita.
Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.
Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.
Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Kama unaamini kwamba kuna pepo na hauna vithibitisho vyovyote vya uwepo wa pepo tofauti na maandiko, basi hii ndio imani.A religion which mould a man minds into that way of blindness is the dead one.