May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,162
- 8,820
Hatujui kulikuwa na mazingira gani ikawa hivyo lakini huenda kuna sababu ingawa simshauri aanike kila kiyu humu.Haya mambo haya nimeyapitia ila huwa ni magumu.
Ulikosea ulipokubali shemeji awe msimamizi wakati ww ukiwa hai
Yeye akajieleze kinagaubaga kwa Mwanasheria wajue kwa kuanzia.