Je mtoto ulie nae ni wako??

As long as huyo mtoto yupo ndani ya himaya yangu ni wa kwangu, hata kama ikigundulika miaka 15 baadae si wa kwangu kimsingi nitakuwa tayari nimeshakuwa baba yake.
unaona eeeh sasa nashangaa watu wanaotaka mtoto awe wa kwake kivipi, mtoto aliyeko kwenye ndoa yangu ni wangu tuu.
 
Yaaminika asilimia 44.77 ya wanandoa wanatunza watoto si wao..pengine wengi wameamua kukaa kimya sababu mateso yake ni bora waendelee kulea hivyo hviyo watoto wa wenzao..je wewe unalea wako ??
Majibu ya hekima ni busara kwa anaesubiri ndoa

Mi na wasi wasi na huyo baba angu kama mama alimbambika dizaini
 
Mtoto wangu ameingia std 7 this yr! Wala huwezi kuuliza. Utadhani tumezaliwa tumbo moja. Wengi wakiniona nae wanadhani ni mdogo wangu kwa jinsi tunavyofanana!

Mambo ya ndoa ni mengi ila ukweli kwamba kuna watoto wa ndoa unabaki palepale ingawa haikatai kwamba kuna "watoto wa nje ya ndoa" ndani ya ndoa!

Kaka yako, mdogo wako, baba yako or any of your "Male" relatives can do the nidful na still kiembryo kikatoka kama Pacha wako...,
"Sor I should be quite"
 
mtoto wangu anavyonipenda na mm ninavyompenda wala siwezi anza kufikiria vitu kama hivyo..Nikapime then what??? sometimes sio vizuri kutafuta matatizo, kama kuna sababu ya kufanya hivyo nitafanya ila kwasasa hapana......

Nsuri,

mbona signature yako inapingana na maneno uliyoandika hapo juu?
 
unaona eeeh sasa nashangaa watu wanaotaka mtoto awe wa kwake kivipi, mtoto aliyeko kwenye ndoa yangu ni wangu tuu.

Wewe kama mtoto anakuita baba, anafumbua macho anakuona wewe, Siku ya kwanza shule umempeleka wewe na akiumwa wewe ndio unalala hospitali na anajua wewe baba yake anakupenda hata akitokea mtu akisema na wake hapo hapati kitu imekula kwake namwambia subiri mtoto akue atasema nani baba yake.
 
Je wewe ni wa huyo baba aliyekulea??

Back
Top Bottom