😂😂😂Kabisa. Na tangu mwanzo nilishawahi kusema huyu ma’am sio suitable. Mwenyewe yupo yupo tu na anajificha nyuma ya pazia kwamba yeye sio Technical Personel.
Alikuwa anataarifa zote za Covid 19 kabla hata kutangaza. Alikuwa akiulizwa juu ya maandalizi anajibu utumbo sana.
Ilipoingia Corona hajui cha kufanya; matokeo yake watu wanamuona yupo busy sana. MSD imeanza kufanya manunuzi ya vifaa hivyo wakati Corona imeshatupiga. Ikawa overloaded hata Sanitizer hawana . Barakoa hawana na zote wanaagiza nje.
Kweli waziri na Bwanakunu walishindwa kukaa na local manufacturers wa Sanitizer na Barakoa kuzalisha hivyo vitu kwa watanzania?
Unaona kabisa hawa watu ilikuwa ni mwisho wao wa kufikiri.
Wao wapo busy na mambo ya kikubwa [emoji23]
Mk54
siniliwahi kusikia kwamba mzee baba ana mwaga mbolea zake hapo...au alishampiga kibuti?Upo sahihi kabisa.
Ila naomba kusema huyu mtu amefeli sana tangu zamani. Sema hatukuwa na changamoto za maana zitakazoweza kuexpose uwezo wake halisi.
Covid 19 imekuja kuonesha uwezo wake halisi. Kuwa hafai kuwa wizara nyeti kama hiyo. Alipaswa kuwa wizara ya Michezo na Sanaa.
Mk54
Kisu kimegusa mfupa,watakaidi ili kutetea ugali wao ila umeeleweka sana brotherHihi 🤣, Pole sana. Kuna wenzio wameni DM. Nimewaelewa sana . So relax. Sikujua kama nitaumiza hisia na maslahi ya watu.
Pole ana ndugu sisi wote ni wamoja.
Mk54
😃😃Hihihi
Mk54
Buma hana kitu ni fisadi tu naye. Fuatilia manunuzi ya dawa Salama Pharmaceuticals kupitia fedha za cost sharingKuna Pharmacist anaitwa Buma hapo muhimbili .....akishika MSD inanyooka vzr tu
Sent using Jamii Forums mobile app
UMMY ana survive kwa vile hana choyo kwenye kuagwa papuchi . Anamgawia papuchi Bwanakunu ili amkusanyie hela za kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini. In turn anamlinda na kumtetea Bwanakunu kwa JPM kwa nguvu zote.Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe siyo Bwanakunu mwenyewe basi wewe ni ndugu wa karibu wa Bwanakunu.Hapana
Madawa na vifaa tiba Ni essential live saving things
Majadiliano yake na solutions zake zinahitaji depths, capabilities and solutions na sio majungu
Alikua wapi siku zote kuibua mahusiano yasiyofaa ya Hawa viongozi?
We need more
Jama jamaKama wewe siyo Bwanakunu mwenyewe basi wewe ni ndugu wa karibu wa Bwanakunu.
Kuwa mpole subiri dawa iingie
Utanelewa tuHhhhh thank you. I agree with you on the other side. However, I cannot comment on patriotism, it is hard to say anything about that. Sometimes you have to choose to see the hidden side of the wall.
It is true that Brig. General Dr. Mhidize will succeed if he restructures the entire organization and pushing things to its limit.
We all pray for the best for as long as he wants to make things happen.
Thank you so very much.
Mk54
Same here... Ingawa baadhi hamkuielewaKaka mazungumzo haya ni eye opening hatuna personal interests. We share the experience and truth.
Mk54
Ali transform kitu gani ? kitaje hapa tukusikie. Kila utakachokitaja tutakutajia aliyeanzisha na tareheJama jama
Yule jamaa alikua arrogant Sana, ingawa alitransform shiroka lake kabla ya gesi kuisha
Ni kweli bro Mk54 yote uliyoyasema. Bwanakunu hakuna anachojua zaidi ya ngono! Mara katembea na Waziri Ummy, mara Mkurugenzi Raslimali watu naye kimada wake anaitwa Vicky Elangwa. sasa wadada adogo wadogo kuna sekretari wake kafagia kuna osisa raslimali watu yuko chini ya Vicky kafagia.Ukweli ndio huo kaka. I wish Aje staff wa MSD humu atupe kile kinachosemwa ndani ya taasisi.
Mk54
Ni kweli bro Mk54 yote uliyoyasema. Bwanakunu hakuna anachojua zaidi ya ngono! Mara katembea na Waziri Ummy, mara Mkurugenzi Raslimali watu naye kimada wake anaitwa Vicky Elangwa. sasa wadada adogo wadogo kuna sekretari wake kafagia kuna osisa raslimali watu yuko chini ya Vicky kafagia.
Hayo ndiyo alikuwa anayajua zaidi siyo kazi na majukumu ya MSD. MSD ilikuwa ni mzigo mkubwa sana kwake na ameondoka hajui kazi. Ila ametengeneza sana fedha kupitia rushwa kwenye manunuzi ya dawa
Same here... Ingawa baadhi hamkuielewa
If we seriously want mfumo wa afya uimarike, na tupunguze utegemezi... Lazima muundo mzima ugeuke
Na tuache kufuata failed models za UN
Ukija kwenye mnyororo wa ugavi ndio kabisaaaaa...
We need our own model
Kama.ni mdau utagundua changes compared to when he joinedAli transform kitu gani ? kitaje hapa tukusikie. Kila utakachokitaja tutakutajia aliyeanzisha na tarehe