Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?

unajua nitachukua sheria mkononi bestito ndo nini hivyo na kwanini unapenda kunipiga picha sehemu hzo
unanitakia nini Mtambuzi lakini kwani hukuweza kupiga hiyo picha tu pekee yake mpaka unifotoe mm
sijafurahishwa kabisa na kitendo hicho eti kaka Bujibuji nimfanye mtu huyu?
 
Last edited by a moderator:

Kumbe huyo ni we we ?...hongera zako Kwa 'KUJAALIWA NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU'
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahhaa ila hakyanani Mtambuzi u are one of ur kind aseee!
sasa hiv ulifikiria nini kuanza kumpiga picha huyu dada pamoja na hilo tangazo lakini?
yani nawaza the moment uko busy unabadilisha gear huku unapiga picha kwa sababu kwa angle ya hizo picha ulikuwa unaendesha huku unafotoa!
KHAAA!
kuna watu huwa sipati picha mama zao walipataje shida wakati wa utoto wao!
KUDOS!

Watu kama hawa waliumbwa ili kuondoa stress za maisha kwa wengine. Ona sasa ambavyo mawazo mabaya yaliondoka kwa muda kwa kucheka na kufurahia utundu wa jamaa. Tuwaombee maisha marefu ili tuwafaidi zaidi.
 
ndio mie sijui kwanini kaka yako Mtambuzi anapenda sana kunichoresha mjengoni humu hebu mwambie
nitakwenda kwa mwanasheria wangu Ruttashobolwa hivi anajua nikosa la jinai kunichoresha mjengoni humu?
mtaadhalishe mapema kabla sija:A S-confused1::A S-confused1:
Kumbe huyo ni we we ?...hongera zako Kwa 'KUJAALIWA NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU'
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

Lileee linaonekana kwa mbali .........

attachment.php

Hapa linaonekana kwa karibu kidogo.......

attachment.php

Hapa sasa ndio linaonekana kwa karibu zaidi............

CC: KakaKiiza, Asprin, Vin Diesel, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Mentor, mwekundu, Kaizer, Ruttashobolwa, Elli
Mi sipendagi uchokozi ujue.... Christmass imekaribia jamani jamani jamani.........
 
Nimeipenda narration yako....kufikisha ujumbe uliopenda uwafikie watu... Ila mkuu dadda yupo uswazi sana...mazingira yanaonyesha...huyu dada ndo wale...haipiti wiki mbili wako hospitali kucheki na kutibiwa UTI
 
nitakutafuta mpaka nikupate ..mambo ya kuweka picha za wake zetu humu ngoja..... ila ilaa tangazo zuri.
 
Mkuu Mtambuzi, najaribu kutafakari supidi ya mutukaa kadiri unavyokaribia tangazo!! Si honi hizo ulizopigiwa na walokuwa nyuma ya mutukaa yako! Kama mimi muongo, bisha!!!! Lakini, I Salute you!!
 
Last edited by a moderator:
Makosa yako, kila siku unaniandalia sijui chai gani ile wakati Chai bora ndio habari ya mujini... lol

Hata hivyo baby sijanywa chai yennyewe ila nimefurahia tanagazo tu....

Naridhika na Chai yako tu

nikinuna unanijua lakini!
huyo Mtambuzi anayekupa like hatakuwepo ujue!
oh!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda narration yako....kufikisha ujumbe uliopenda uwafikie watu... Ila mkuu dadda yupo uswazi sana...mazingira yanaonyesha...huyu dada ndo wale...haipiti wiki mbili wako hospitali kucheki na kutibiwa UTI

mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiou KUNA WATU MKIWA KWENYE HIZI KEYBOARDS HUWA MNAAMINI NI BORA SANA KULIKO WENGINE!
sijui kwanini huwa mnaamini hivyo sijui kwa kweli!
WEWE USIYE USWAZI UNA niiiiini mbwiga weeeee?
 
Yeye ana date mabint ambao hawaugui UTI wanaugua Gono tu!!!
Debe tupu ndio linalopiga kelele siku zote,huyo hana hata kwake huko anakotambia kwa shemeji aliyemuolea dada waliyetoka kijiji kimoja tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom