Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

na pale ubungu anaofisi ya DAR LUXURY
njoja nifuatilie kama hayo mabasi yameshatua bongo.
 
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
Ndio maana huyu jamaa anaongea hadi povu linamtoka na wazee aliwapa Tshs 50,000/= kila mmoja eti wazee wa CCM. Kutetea uozo wa mchakato wa katiba ya kishikaji na watu wasio stahili ya kulinda wezi!!!!!!!!!!! Wanadhani wote Watanzania tumelala. Weka data mkuu tuwaumbue hawa mafisadi waelewe kwa nini tunahitaji katiba makini ya kutukomboa na kulinda mali za nchi yetu!!!!!!!!!!!

 
na pale ubungu anaofisi ya DAR LUXURY
njoja nifuatilie kama hayo mabasi yameshatua bongo.

Ni kweli hiyo kampuni ipo na RZ1 ndo anaianzisha, pia c walisema hata yale malori Dalbit ni ya kwake? kuna moja lilipata ajali maeneo ya Nyololo- mafinga wananchi wakawa wanachota mafuta huku wanamtukania Riziwani kwamba bora nao wafaidi kwa mtindo huo (kuiba mafuta)
 
mkuu ebu fanya utafiti tujuze kama hizi ni habari za kweli, maana naona source ya habari huna uhakika nayo!
 
Malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa Iringa
nawakilisha

Sasa Asas si babu yake Ridhiwan,,,, lazima biashara iende vizuri. Yule bi mdogo anayekaa Msoga kaolewa kwa malengo..
 
Hizo ni tetesi tu na sio ukweli. Tushazoea kuhusisha wakubwa(hasa tukianza kuwachukia) na mambo fulani fulani.
Huyo dogo riz hamiliki hiyo kampuni wala hana hisa kama inavyosemwa mitaani.
 
Haya sasa, wenzake waliomaliza nao majuzi tu hawana hata kiwanja tu cha uswahilini pa kujengea nyumba.

Lakini sitoshanga kusikia magari ya na vituo vya mafuta vya Lake oil ambavyo ni wazi vimepatikana kwa njia ya UFISDI, vyote vimetiwa kiberiti nchini.

...jamani wadau wekeni list nzima ya mali anazomiliki huyu dogo ili tutakapolianzisha kama Libya tuanze na yeye, tuchukue vyetu kama ni mafuta na vingine tuchome moto, dogo tutamtundika katika mti pale magogoni na babaye pale msoga!!!
 
ni bora kama huo ushahidi ajakamili weka hii topic pembeni hili uje na ushahidi tujadili kitu
cha kweli sisi na uzee wote tujadili kitu ambacho akijakamili mwanga ushahidi humu watu waharishee na kutapika humumhumu unataka tuuwe mbu
kwa nyundo hapana tutende haki jamani WEKA DOCUMENT ZA BRELLA HAPA,

..unafikiri wao ni mazuzu wasajili BRELLA kwa majina yao halisi,..,think global, act local!!!
 
Jamani tusubiri km kweli hata kuoa au kuolewa ndio unamilikishwa utajiri wote wa ASAS Iringa? vituo vyote vya Afroil mmesema vyake sasa Lakeoil tena mbona Tume zianzishwe tu km data zipo zimwagwe km za JAIRO TUSITUNGE KWA KATOTO KA 1980
 
Mimi nawajua vizuri sana Watanzania(Na mimi nikiwemo ni Mtanzania), wanapiga kelele tu kwa kuwa wao hwana hizo chance za kufanya hivyo. Semeni ukweli na mwogopeni Mwenyezi Mungu, wewe ukupewa office ukawa ndio boss huwezi kuiba??? Msinidanganye, wote wezi tu nyie. Yanawatoka macho kwa Riz one . Katika hili nawajua vizuri sana Wa TZ. Angalieni Halmashauri, Vyuoni, Office za Mikoa, nk. Je utaona kuna VALUE FOR MONEY kwa kila huduma wanayotoa??? Iweje leo mshempelee JK na Mwanaye kuwa wezi. Jiondoeni Maboriti yenu kwenye macho halafu anzeni kuona vibanzi vya wenzenu. Ukweli unauma lakini ndio hivyo. Asanteni na samahani kwa kupasua jipu kwa nguvu kiasi hiki.

....kanye kalale wewe mvivu wa kufikiri, kama Rais hawezi kusimamia uadilifu unategemea nani huku chini atawajibishwa..u bone head!!
 
Ni kweli na hizo tetesi ni za siku nyingi. Lisemwalo lipo


Tena nasikia hata lile jengo la Mafuta House lililopo pale posta mpya nalo NSSF wamemuuiza kinyemela kwa Riz1 huku pia kukiwa na mkakati wa chinichini wa kumuuzia lile soko la samaki la ferry kwa madai kwamba Manispaa ya Ilala wameshindwa kuliendeleza lile soko na kwamba kuna siku balozi wa Japan alienda kuongea na Mkulu na kumwabia wazi endapo hali ya soko lile itaendelea kuwa mbaya basi japan hawatarajii tena kufadhili miradi hapa nchini.
 
hizo ni tetesi tu na sio ukweli. Tushazoea kuhusisha wakubwa(hasa tukianza kuwachukia) na mambo fulani fulani.
Huyo dogo riz hamiliki hiyo kampuni wala hana hisa kama inavyosemwa mitaani.

kumbuka kwanza ya nguza na wanae halafu ndio useme ni tetesi
 
Kumbe mlikuwa hamjui? Mmeshamsiki baba riz akisema chochote tangu sakata la mafuta limeanza?
 
Back
Top Bottom