mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
ni afadhari wamlie kuliko wakimla na yeyeSijui nkuiteje? labda unataka kubadili jinsia na unavyoelekea watakulia wenzio.
Pole kwakubakwa,mburula kama wewe unapigiwa sana ,tena huyo dada anakuzuga ili usimshtukie ,mwanaume gani wewe umeoa uweke mkeo maua,basi ungenunua mdoli uwe unamfanya unapotaka lol we ni mwanauyme waajabu sijjawahi ona
Dah kweli kilaza ni kilaza tu
ulimuoa wa nini mtu huna uhitaji si kumtia majaribuni mwenzio huko. umejaribu kuongea nae kuhusu hilo?