Je, mke wangu ananibaka?

mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

Ukikua utaacha.
 
kaazi kweli kweli.
kwa uandishi huu napata dodoso kwamba huna mke wala nn ila tu umetaka kuandika ili tukusome. fine kamshtak
 
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.

this issue becomes very serious!
 
Lijinga unajichuria shauri lako siku ukioa kweli yatakukuta.. Acha kujichuria dent
 
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

acha utoto alaa!
 
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.

hivi we mwanamalundi unaishi sayari ipi maana kila liletwalo wewe halikuhusu tushirikishe basi ya huko sayarini kwenu
 
kama wapo wadogo zako nyumbani kwa baba yako, mpeleke huko mpaka hamu ya ngono ikushike.
Ukibakwa kabla hujampeleka piga kelele ili ueleze tatizo kwa majirani ili upate msaada
 
Kwa kweli hapo sidhani kama sheria itakusadia. Sheria inaweza kukubaka pia.

Ushauri wangu ili kupata permanent solution ni kufanya gender reassignment na kuwa transsexual.

Hii itakupafanya usiwe tena na hilo dushelele, badala yake utakuwa na K.

Hapo sidhani kama ataweza kukubaka tena.

Kuna mtu anafanyaga hiyo operation kama unataka ni PM kwa details zaidi.
 
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

POLE yako mkuu, angalia wasije kukumegea........,
Kosa ni lako inaonekana ulikuwa unamgegeda sana mwanzoni na sasa umepunguza speed, au mtu aliyekuwa naye kabla yako alikuwa akimpa shughuli ya nguvu, POCHI manyoya huwa inatabia ya kukariri kichapo hivyo inatakiwa umaintain kiwango kwani ukilegeza tu problem zinaanzia hapo. MWANAUME HUWA HABAKWI NA MWANAMKE,,,, Au mkeo ni shemale?
 
Kwani ulitumia vigezo gani kumuoa?
Ulijuaje anafaa kuwa mkeo?
Ninyi wawili mnatakiwa kupata elimu ya kisaikolojia ili kusynchronise ur sex drives otherwise ndoa iko juu ya mawe
 
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
Unaweza kumnshitaki kabisa na utashinda kesi. Nakushauri wahi haraka kituo cha polisi, andikisha jalada ili mwanamke wako aje kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Kama ukiwa na shida ya kupata shahidi, tafadhali nitafute
 
Umejaribu kuunga mboga lakini mafuta yamepungua nadhani siku ukipata viungo sahihi mboga yako itanoga.
 
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

Ndugu yangu km ni mkristo, kumbuka neno hili, "mume hana haki juu ya mwili wake na mke vivyo hivyo" kasome toka Waraka wa kwanza wa Petro, soma yt utajua anakubaka au ni haki yake, na siyako wewe.
 
Hizi bahati nazililia sana ndo ukikuta umeitwa kwenye shughuli ya kukaa siku tatu nne wife za watu wanahaha na mabachela kumbe kazi za watu tunawasaidia halafu baadae wanaweka dawa za kunasianaaaaaaaaaaaaa....
 
Mmmh jaman yaan kuna watu wanaboa lo! Kwani we unauwezo wa kufanya marangapi kwa wiki? Mbona wanaume skuiz mnakimbia majukumu aaaghrr!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom