Uwiiiiiiiiiiiiiiiii aise we jamaa, wa wapi, yaani mi mke hana hamu, angekua wangu huyo uwiiii yaani huyo unatakiwa umshughulikie haswa tena ndo mmetoka funga ndoa juzij uzi acha uvivu kaka jitume ndo ndoa hiyo na si kulala pamoja huyo si dada yako ni mkeo... tena angalia asije jua unalalamika atakudharau saaaana.... Show her you are a man.....