Je, mke wangu ananibaka?

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
 
Mlete kwangu nikusaidie kazi.Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.
 
Jifanye Jongoo hapandi Mtungi hatakuweza,
Jua shamba ukiacha kulilima wenzio watapanda Mihogo na utakuja hapa JF unalia OOOOO WAMENILIA MIHOGO YANGU
 
Pole kwa kubakwa na mkeo. Kukusaidia mlete kwangu nitamfunza vizuri. Akirudi huko utakuwa na raha ya milele na ndoa yako. Wala usiogope, wangu mie hanisumbui kabisa.
 
Kwa kifupi hakubaki bali unafanya mapenzi kwa ridhaa yako,na ushahidi mkubwa ni kusimama kwa sehemu zako za siri,kwani kwa mwanaume ambaye hajisikii kufanya mapenzi sehemu zake za siri huwa hazisimami!
 
kwani hujui maana ya ndoa hadi unasema anakulazimisha!?unadhani kwao hakuna chakula au nguo nzuri?
timiza mahitaji ya ndoa yako usije baadae ukatuletea mada nyingine"mke wangu ananisaliti".akili kichwani.
 
hahaha safi sana wee ulidhani ndoa ni manyumba magari na mapesa...ndoa kugegedana tuu ndio maana watu wanapagawa wakisikia papuchi yake inamegwa...sasa kaza buti umpe mkeo anachotaka...au nije nikusaidie?
 
Sijui nkuiteje? labda unataka kubadili jinsia na unavyoelekea watakulia wenzio.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom