Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 608
Unasema mnaamini vitabu vinne? Hafu unavitaja hapo!!Vitabu vinne
Zaburi- alipewa daud (R.A)
Torah-Mussa (R.A)
Injili- iSA( Yesu)
Quran- Muhhamad (S.WA)
Hivi ni vitabu vitakatifu vilivyotemshwa kwa kwa mitume hawa ambavyo vimetwaja kwa mjiana ila.vimeteremshwa vitabu vingi na vilikuwa vinateremshwa kwa watu wa anaeo fulan na kwa kipind fulan, ila Quran nu kitabu kilichotereshwa kwa ajili ya ulimwengu mzima na had mwisho wa dunia ndio kifuatwe kama amabavyo Muhhamad (S.A.W) alivyokuwa kwa ajili ya ulimwengu mzima na sio mtume wa waarabu au mashariki ya kati kama wengine walivyotumwa.!
Unawezaje kuamini vitabu ambavyo huvijui yani hujawahi hata kuviona???
Unaweza kuleta ushahidi wa uwepo wa kitabu kiitwachi injili kilichoandikaa au kuletwa Na yesu?
Au Torah Na injili ya Mussa?
Leta hivo vitabu exclusively sio vilivomo kwenye bible au vya wayahud maana mnasema hivo vimepotoshwa!!