Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Itakuaje dini ya mungu ilikufa ikahitaji kufufuliwa
 
Mitume na manabii hawajakuja kutangaza Dini bali walikuja kumtangaza Mungu kuwa ndiye muumba wa huu Ulimwengu na vilivyomo ndani yake.
Hii ndio point. Nachoamini mimi na Mimi ni musilam ila message kutoka kwa mitume na manabii ni moja tu ni kumtangaza na kumuabudu mungu kuwa ni mmoja na kaumba kila kitu haya mambo mengine ni mambo yetu sisi tu tumeyatengeneza
 
Natumaini wote wazima ndugu wa JF,

Rejea kichwa cha habari hapo juu kwa kweli nimekua nikitafuta majibu ya hilo swali lakini nimekosa jibu sahihi

Inasemekana na kusadikika ukristo ulikuja baada ya yesu inamaana huko nyuma kabla ya yeye kuja ukristo haukuwepo

Vile vile kwa uislam inasemekana kwamba huko nyuma kabla ya muhammad hakukuwa na neno linaloitwa uislam inamaana na inawezekana manabii na mitume waliopita hawakuwa wakristo wala waislam

Swali langu ni hili je hao manabii kama mussa, yusuph, ibrahim, suleyman yakobo walikua dini gani??

Nawasilisha
ASSALAAM
SALAM
UISLAM

hata YESU alisisiza ASSALAM

ASSALAM = AMANI

mitume wote walihubiri ASSALAM = AMANI
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Ukisikia umbea, na majisifu ndio haya! Ni bora ungekaa kimya kuficha huu ujinga!
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Saundi
 
Afadhali wew unaelewa ni mwana wa Mungu wenzio wana muabudu kama mungu
Kama Mwana wa Mtu ni Mtu,au Mwana Kondoo ni Kondoo au,kama mtoto wa Simba ni Simba,nk
Kwa nini Yesu Kristo Mwana wa Mungu asiwe Mungu?
Yesu Kristo Mwana wa Mungu ni Mungu! Anaabudiwa na Anasujudiwa na viumbe vyote DUNIANI NA MBINGUNI kama Mungu,
1. Wanadamu,(Mathayo 2:11,Mathayo 14:33,Yohana9:35-38),Luka 24:50-52
2. Malaika,(Waebrania1:6-8),(Ufunuo5:8-14)
 
Kweny Quran Allah asema tumetuma revelation kwenye kila taifa na tumetuma mitume kwenye kika taifa ni mitume 25 peke yake ndio wamtajwa kwenye Quran na vitabu vinne nduo vimetwaja kwenyw Quran ila Mtume anasema walitumwa mitume 124,000 dunia nzima ila wale walitumwa kwa watu fulan ama mji na mafundish yao yalielekezwa kwa watu wale tu...mafundisho aliyokuja nayo Muhhamad ni kwa ajili yetu kutokana na dunia tuliyo nayo haiweza kufanana na mafundisho ya nyakari zile ila msingi ni mmoja lengo ni kumuabudu Mungu mmoja na kujisalimisha kwakwe kitendo hicho kwa lugha ya kiarabu kinaitwa islam.!
Yesu kwa kiarabu ni yeshua sio issa
 
Kama Mwana wa Mtu ni Mtu,au Mwana Kondoo ni Kondoo au,kama mtoto wa Simba ni Simba,nk
Kwa nini Yesu Kristo Mwana wa Munu asiwe Mungu?
Yesu Kristo Mwana wa Mungu ni Mungu! Anaabudiwa na Anasujudiwa na viumbe vyote DUNIANI NA MBINGUNI kama Mungu,
1. Wanadamu,(Mathayo 2:11,Mathayo 14:33,Yohana9:35-38),Luka 24:50-52
2. Malaika,(Waebrania1:6-8),(Ufunuo5:8-14)
Acha uongo Yohana 8:40 anasema yeye ni mtu..
 
Ni kweli ni mtu kwa sababu alichukua mwili akawa mwanadamu ila
Yesu kristo mnazareti hakuwa mtu wa kawaida
Mtu gani hakutenda dhambi?
Mtu gani anasema alikuwepo kabla ya Ibrahim kuwako?
Mtu gani anasema Mungu amtukuze pamoja naye kwa ule utukufu aliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako?

Ndugu jifunze kumfahamu Yesu kristo ni nani hasa!!
 
Acha utapeli anakunya kama sisi tu tofauti kapewa utume tu
 
Jibril alivyokuwa anavaa mwili wa yule kijana handsome wa pale Kijijini kwa Muhammad alikuwa ule mwili unakunya au ilikuwaje. Yani Muhammad alikuwa anakutwa nae chumbani anasema huyu ni jibril wanakijiji wakawa hawaelewi
 
Kweny Quran Allah asema tumetuma revelation kwenye kila taifa na tumetuma mitume kwenye kika taifa ni mitume 25 peke yake ndio wamtajwa kwenye Quran na vitabu vinne nduo vimetwaja kwenyw Quran ila Mtume anasema walitumwa mitume 124,000 dunia nzima ila wale walitumwa kwa watu fulan ama mji na mafundish yao yalielekezwa kwa watu wale tu...mafundisho aliyokuja nayo Muhhamad ni kwa ajili yetu kutokana na dunia tuliyo nayo haiweza kufanana na mafundisho ya nyakari zile ila msingi ni mmoja lengo ni kumuabudu Mungu mmoja na kujisalimisha kwakwe kitendo hicho kwa lugha ya kiarabu kinaitwa islam.!
kati ya hao mitume 124,000 kuna ambao walikuwa ni black race? Je, wapo waliotumwa kwa ajili ya afrika?
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.

Nilikua Ntaukuta uongo kama huu. Muislamu wa kwanza ni mtume muhamadi. Why muwe waongo waongo? Mimi huwa mnanikwaza sana ninyi watu wa Dini. ACHENI KULAGHAI WATU.

(AZZUMAR – 12)
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu
 
Mtume Mohamad ndiye muislam wa kwanza, kusilim . full stop
Mtu anayetunga uongo kuwa kulikuwa na waislam kabla ya Mohamad ni muongo
Mud ndiye aliepewa swala tano. alibagain na Allah hadi kupata hizo swala tano. Allah alitaka ziwe zaidi ya hapo. Je hao waislam wa mwanzo walswali swala ngapi
Mudi ndiye aliyeteremshiwa korani yoote, je hao wengine walitumia kitabu gani
NB Uislam ni dini ya kuiga dini zingine. Wameiga dini ya kiyahudi na mengine wameiga toka dini ya Kiristo
Ni dini fulani hivi ya hovyo hovyo sana
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Nina maswali kwakk Mkuu naomba unijibu tafadhali.

1. Inawezekanaje dunia nzima isahau uislamu Na kusiwe Na written record hata moja ya Ku prove ulikuwepo before Mohammed?

2. Tutatumiaje kitabu kilicho andikwa mwaka 1600 AD Ku prove kitu ambacho kimetokea miaka zaidi ya 4000 BC ??

Yani Mimi Leo nianzishe dini nije Na kitabu hafu niseme nyinyi waislamu Na wakristo wote mmepotea Muhammad hakuwa muislamu wala mitume was yesu hawakuubili ukristo. Hafu nije Na dini Mpya niseme ndo ilikuaa dini manabii wote!! Yani Inawezekanaje kusiwe Na record ya hio dini yangu hata moja ya zamani???
 
Back
Top Bottom