Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

Tlg

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
784
1,000
Vitabu vinne
Zaburi- alipewa daud (R.A)
Torah-Mussa (R.A)
Injili- iSA( Yesu)
Quran- Muhhamad (S.WA)

Hivi ni vitabu vitakatifu vilivyotemshwa kwa kwa mitume hawa ambavyo vimetwaja kwa mjiana ila.vimeteremshwa vitabu vingi na vilikuwa vinateremshwa kwa watu wa anaeo fulan na kwa kipind fulan, ila Quran nu kitabu kilichotereshwa kwa ajili ya ulimwengu mzima na had mwisho wa dunia ndio kifuatwe kama amabavyo Muhhamad (S.A.W) alivyokuwa kwa ajili ya ulimwengu mzima na sio mtume wa waarabu au mashariki ya kati kama wengine walivyotumwa.!
Unasema mnaamini vitabu vinne? Hafu unavitaja hapo!!

Unawezaje kuamini vitabu ambavyo huvijui yani hujawahi hata kuviona???

Unaweza kuleta ushahidi wa uwepo wa kitabu kiitwachi injili kilichoandikaa au kuletwa Na yesu?

Au Torah Na injili ya Mussa?

Leta hivo vitabu exclusively sio vilivomo kwenye bible au vya wayahud maana mnasema hivo vimepotoshwa!!
 

Tlg

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
784
1,000
Sijaona mkristo hata mmoja aliyejibu swali ikiwemo wewe pia?
Sasa kama hakuwa muislam alikua dini gani??
Vilevile maana ya uislam bado hujaielewa maana watu wamefafanua
kwamba uislam ni kitendo cha kujisalimisha kwa muumba wako mbona tafsiri yenyewe iko madhubuti na inaeleweka
Mababu zetu walijisalimisha kwa mizimu nao ni waislamu?
 

Tlg

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
784
1,000
MAMBO AMBAYO MTUME MUHAMMAD S.A.W KAYAKUTA, KAYAENDELEZA NA LEO YAPO KATIKA UISLAM.
i/Kibra-al qabah
ii/msikiti wa Maka
iii/Hija
vyote hapo juu vimeasisiwa na Nabii Ibrahim
ONGEZENI WAJUZI
Leta ushahidi Mkuu!!

Na usitumie Qur'an kama ushahidi sababu imeshushwa/ kuandikwa miaka ya 1600?
 

Tlg

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
784
1,000
Mkuu uislamu si umekuwepo miaka 600 baada ya Yesu?
Anyway nitafuatilia zaidi chimbuko la hilo jina ya Yesu.
Waislamu wanataka kuaminishaa ulimwengu kwamba watu wote dunua nzima kabla ya Muhammad walipotoka wakausahau uislamu ila ulikuwepo?

zaidi wanajaribu hadi kupotosha historia kwa kudai historia yote ya ulimwengu ilipotoshwa maana kabla ya Muhammad hakuna kitabu hata kimoja cha dini ya kiislamu kilikuwepo sasa sijui vilichomwa vyote???

Yani kuna historia hadi za dynasty za kichina halafu eti dini ya dunia nzima ifutike mazima kabisa hadi MTU mmoja aje atuambie ilikuwepo watu wakapotoka??
 

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,020
2,000
Walikua wa Kristo.

Ndo maana hata Yesu nae alipokuja akajipambanua kwamba yeye ni Yesu KRISTO. Na akaleta ukristo wa zama zake
 

X-12

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
386
1,000
You Get it Wrong...Kristo nduo jina lake halisi kutoka mbinguni likiwa na maana ya masihi hiui kristo ni tafsiri ya jina masihi yaani mpakwa mafuta....jina jesus lilianza kutumiaka 300 baada ya yeue kuondoka wala hajawahi kulisikia ni jina la kilatini na ushahid upo had leo jina Jesus sio jina la kiibrania the same way na imean ya ukristo nayo hakuanziaha uesuilikuwa kuanzishwa na waru wengi over 300 baada ya yeys kuondoka....ila msingi wa mafundisho yake ndio ule uke wa mussa,Nuhu,ibrahim na Muhhamad (S.A.W) nayo msingi mkuu ni kujisalimisha matakwa yako kwa mwenyezi Mungu na iman ya Mungu mmoja ndio walichokuja kufundisha mitume wote..tendo hilo la kunyenyea na kujisalimisha kwa Mungu kwa kiarabu inatwa ISLAM
Sema hapo watawala wa kirumi walivamia maandiko ya injili wakafanya corruption na kuwauwa wafuasi wa Yesu waliokuwa wameshikilia msimamo wa din ya Mungu mmoja ili wapachike Mambo yao.!
Kabla ya hapo alikuwa anaitwa nani
 

Onlymee

Member
Feb 27, 2021
41
125
Kwa mujibu wa koran, Mohamad ni muislam wa kwanza, na kabla ya Muhammad hapakuwahi kuwepo na huyo wanamuita Allah. Huyo ameumbwa kwenye mawazo yetu na Muhammad
Hivyo kabla ya Muhammad hapakuwepo na uislam.
According to several passages in the Quran, Muhammad was the first Muslim:

Say: Shall I choose for a protecting friend other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who feedeth and is never fed? Say: I am ordered to be the first to surrender [aslama] (unto Him). And be not thou (O Muhammad) of the idolaters. S. 6:14 Pickthall

Say, verily my Lord hath directed me into a right way, a true religion, the sect of Abraham the orthodox; and he was no idolater. Say, verily my prayers, and my worship, and my life, and my death are dedicated unto God, the Lord of all creatures: He hath no companion. This have I been commanded: I am the first Moslem (Wa 'Ana 'Awwalu Al-Muslimin). S. 6:161-163 Sale

He hath no associate. This am I commanded, and I am the first of the Muslims. S. 6:163 Rodwell

Say (O Muhammad): Lo! I am commanded to worship Allah, making religion pure for Him (only). And I am commanded to be the first of those who are muslims (surrender unto Him). S. 39:11-12 Pickthall

Kwa upand mwingine ukristo ni mwendelezo wa Dini iliyoanzia Eden. Na Yesu alisema hakuja kutengua bali kuendeleza
Dini ilikuwa kabla ya MUHAMMAD (s.a.w)
Yeye alikuja na ujumbe tumuabudu Mungu mmoja
 

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,071
2,000
Wote walikuwa waislamu na kazi yao kubwa ilikuwa kumtangaza Mungu mmoja na mtume wake.Mfano kipindi cha Musa walikuwa wanasema La Ilaah Il Allah ,Musa Rasululah, Ibrahimu LA ILLAH ILALLAH ,IBRAHIM RASULULAH, kipindi hiki cha Muhammad tunasema LA ILLAH ILALLAH MUHAMMAD RASULULAH.
Mungu mmoja na mtume wake?

Ni mtume yupi huyo ikiwa Muhammad alikuwa bado hajazaliwa?

Na je, Mungu mwenye uweza wote hakuwa na njia rahisi na ya haraka ya kujitangaza (ikiwemo kutamka tu maneno) tukamjua badala ya hii Caravan route ambayo mpaka sasa haijawafikia watu wote duniani pamoja na miaka kibao tuliyonayo?
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,888
2,000
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.


Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.

Uzuri umesema mapema kuwa majibu yako ni kwa mijibu wa imani yako. Kwa muktadha huo swali bado halijajibika kwa sababu Xtian nae atakukatalia kwa mujibu wa imani yake and therefore this discussion will be ever-lasting.

2. Kwamba Uislam ulikuwepo tangu the first man, badala yake watu walikuwa wameusahau, hivyo Muhammad Ibnu Abdillah alikuja kuufufua; Historically the word Islam halikuwahi kuwepo huko nyuma tangu na tangu. It is an Arabic name invented during the time of Muhammad. How could that be watu wote wakiwemo hao makuraishi yaani koo ya Muhammad isiwe na kumbukumbu ya uwepo wa neno Islam except Muhammad? Hivyo maelezo yako ni invalid na yapo kuhalalisha na kutetea uwepo wa Islam. Kihistoria katika hizi dini za Middle East Judaism ndio dini ya kwanza, Christianity ikafuata, kisha Islam came last, maelezo haya can be verified anywhere. Maelezo yako kwamba Islam ulikuwepo tangu First man can not be verified except in Quran na Quran ndio uislam, hivyo source yako ni irrelevant. Toa Source isiyofungamana na dini yoyote kuwa Islam was there before Islam itself.

3. Kwa mfano TZ, ukirudi nyuma miaka 250 which is not too far, kulikuwa hakuna Islam wala Christianity, ila watu walikuwa na imani, je babu yako ambae ndio chimbuko lako alikuwa Dini gani; the problem is when you pretend uislam au Xtianity ni kama dini yako. Hizi sio dini zako bali ni dini ulizorithishwa na ukatengenezwa kuwa hivyo ulivyo.

4. Hoja ya msingi ni Binadamu wa mwanzo kabla ya Uislam na Uyahudi na Ukiristu walikuwa Dini gani ; jibu sahihi na ambalo halina shaka ndani yake ni HATUJUI!
——————
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,064
2,000
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.


Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Dismiss case....

Hatutopokea comment ingine yeyote,,

Hii imebeba majibu ya uzi mzima.
 

Charlie One

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
202
250
Muhammad alichobugi ni kwenye suala la Majini, na kusema kuwa peponi kuna mito ya pombe na mtakuwa mnafanya Ngono non-stop na mabikra 70 infront of allah......Yaani starehe zilizokatazwa Duniani, kwenye makazi ya alah wenu hazijakatazwa
Tatizo la dini ya kiisalmu lipo kwa wanaoifundisha. Wana story za hapa na pale nyingi mno, kutoka mashariki ya kati ambazo zingine zinapingana na waislamu wa maeneo mengine, mf. Mashariki ya mbali na magharibi.

Stori za middle east zimejaa starehe, ngono na tamaa zinginezo za kidunia...na ubinafsi.

Mfano mzuri chunguza haiba na masaha za waislamu wa mashariki ya mbali kuanzia malaysia, indonesia na kwingineko. Utaona utofauti mkubwa.

Na hawa wa mashariki ya kati wanaaminika sana kwa sababu ndipo kaburi la mtume lilipo.


The same theory applies kwa wayahudi na stpri za Yesu. Wameishika sana dini kiasi cha kutunga sheria na taratibu zingine za kishetani ambazo hazimpendezi Mungu.

So, wafia dini, muwe makini.

Msije mkaangamia kwa kukosa maarifa.
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,583
2,000
Mi sifahamu kwamba, Muhammadi alikuja kufundisha kitu gani cha maana ambacho hakikuwahi kufundishwa na Mitume waliomtangulia.
Labda kutuambia kuwa Majini nayo ni Maislamu. Kitu ambacho sijui kinawahusu nini hao Waislamu watu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom