Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,599
- 109,193
Ina maana wewe mwenzetu ni kiziwi kiasi kwamba ukipanda pantoni pale feri halafu injini ikazima huwezi kusikia?Hiyo source yako tuu imenichosha aisee, hao abiria walikuwa wanaenda engine room,wanaikagua meli hadi uvunguni?
Sawa bwana ili mradi tuu tuonekane kila serikali inachokifanya hakifai.
Hizi akili zenu ni study case zinahitaji kufanyiwa utafiti.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app